Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

11 July 2026

COMMONWEALTH GIVES 30-DAY ULTIMATUM ON TUNDU LISSU'S FATE / TANZANIA FACES NEW CONDITIONS...

View: https://m.youtube.com/watch?v=yQvVmNJ1jgY
The Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) has issued a firm directive to Tanzania, demanding the release of opposition leader Tundu Lissu within 30 days.
Source : Jambo TV
 
1783793285786.jpeg
 
Pamoja ya sheikh Mahmoud Kombo kuongezewa timu ya kumsafisha Samia na serikali yake haramu, mambo yanazidi kuwa magumu



Toka maktaba
March 7, 2026.
London

FIRST ELEVEN / KIKOSI CHA KABUDI CHAONGEZWA KUBADILI TWASIRA KIMATAIFA
1783793793382.jpeg

The Minister of State in the President’s Office (Special Duties), Prof. Palamagamba Kabudi, has arrived in London, United Kingdom, to participate in the 72nd Meeting of the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) and the 26th Commonwealth Foreign Affairs Ministers Meeting (CFAMM), scheduled for March 7, 2026.

Tanzania’s participation in this important international event follows an official invitation from the Commonwealth Secretary-General, Hon. Shirley Botchwey.

The 72nd CMAG Meeting aims to review the implementation of decisions and reinforce the core principles and values of the Commonwealth, focusing on key issues such as good governance, democracy, human rights, and the rule of law among the 56 member states.

On March 8, 2026, Prof. Kabudi will participate in the 26th Commonwealth Foreign Affairs Ministers Meeting, also held in London.

The meeting will address strategic issues concerning the future direction of the Commonwealth and explore ways to strengthen its role in addressing global challenges.

Ministers will discuss and establish policy priorities in preparation for the 28th Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM), scheduled to take place in Antigua and Barbuda from November 1 to 4, 2026.

The goal is to foster solidarity and promote reforms within the Commonwealth amid a rapidly changing global landscape.

At these events, Prof. Kabudi will represent the Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Mahmoud Thabit Kombo (MP).

Among other duties, he will present Tanzania’s stance on various agenda items to be discussed by ministers from member states.

Prof. Kabudi is accompanied by the Presidential Advisor on Diplomatic Affairs, Ambassador Lazaro Nyalandu.

While at the Embassy of Tanzania in the United Kingdom, they were received by Tanzania’s Ambassador to the UK, Ambassador Mbelwa Kairuki, who briefed them on the preparations and progress of the Commonwealth meetings.
Source : MFA_Tanzania
 
Common Wealth ni taasisi imara
Ina nchi zaidi ya 55 duniani
Hawa wakikutenga
EU wakakutenga
US wakakutenga
Utakuwa mgeni wa nani?
Nakazia hoja: Kwa maneno mepesi na rahisi kueleweka ; fikiria mtu binafsi anapotengwa na Ukoo au Familia inakuwaje.
 
Sio kutengwa kwa nchi pekee yake ni pamoja na nchi kuwekewa vikwazo vya kijamii na kiuchumi
baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri, kufunguliwa mashtaka katika mahakama za mbali na mali zao kukamatwa huko ughaibuni
Halafu akitokea wa kutokea mkorofi fulani, akakunyang'anya na kukupora mali zako kijeuri kabisa huko nje, huna pa kulalamika kwani polisi na mahakama za humu ndani haziwe kukusaidia na huko nje hawatakusikiliza - umetengwa/umejitenga mwenyewe kwa kukosa Utii.
 
We bwege hujawahi kumiliki akili, huo uanacham kwanza ni kuendeleza ukoloni, waufute unatusaidia nini? Natamani tungekuwa na strong President huyu mama simwamini. Wafute huo upuuzi wao hao ndiyo waliofadhili ule uhalifu wa mwaka jana, wakoloni wamerudi kwa mlango mwingine. Lissu ni kibaraka wao wa kutuharibu nchi yetu. Lissu hatoki kwa maelekezo yao, hivi hawaoni hata aibu? Ina maana hawaheshimu mahakama zetu? Mashoga hayo mambwa

Mwendawazimu kama wewe, ukiona wenye akili wanajadili, funga domo lako, haya mambo yanahitaji akili, kwa usiye na akili kama wewe, lazima utachangia takataka, kama hii uliyoiweka. Pole sana kwa ndugu zako, maana hao ndiyo watakuwa na maumivu makali kwa kuwa na ndugu asiye na faida.
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
Wana kamsemo kao wenyewe wanasema tanzania ni sovereign state isiingiliwe kwenye mambo yake ya ndani
 
Mama anaupiga mwingi, hambiwi kitu. Ye alishasemag kwamb nchi haiko kama ndoa kwamba usiponipa mbunye sikununulii galaxy. Who are you?
 
Chura kiziwi hasikii kabisa.
Yule Bibi namlaani hadi vizazi vyake vyote.

Mungu Muue samia haraka.
Nduli iddi amini mama anaharibu Taifa lako Takatifu.
Nafkiri ndio Rais pekee kuwahi kuchukiwa zaidi na raia.
 
Muanzilishi wa siasa za chuki ndani ya nchi hii ambazo zinaendelezwa na Samia ni mwanaume anaye itwa Magufuri kwahiyo hatutakiwi kumchagua mwanaume aongoze eti kwa sababu ya uovu wa Magu?.
Kuchukua ujinga wa mtu mmoja ukauunganisha na jinsia yote pia ni upumbavu na kukosa akili.
Hata Heche anasemaga kuwa matatizo makubwa ndani ya UPINZSNI wa hii nchi yamesababishwa na Hayati JPM.
 
Ngoja yawarudi niliona CCM walikuwa wanamfurahia sana ujio wa Lazarus Chakwera kutoka commonwealth, wakaruruka sana kwenda kutoa maoni yao. Kumbe walikuwa wanajitia kidole machoni bila kujijua.
HM5N_IRXoAACWpu.jpg
HM5N_ILXUAAMJ0d.jpg
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
Kwan wakisimamishwa uanachana kuna effect gani
Naomba kujulishwa mimi ni mgeni
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
Inategemea wana maslai gani na Tanzania.

Watapima
 
Niliwaambia watu hapa kuwa waarabu awanaga faida yoyote kwa africa ...watu wakabisha mimi ningekuwa rais basi ningefunga na kufufusha mabarozi wote wa nchi za kiarabu na Kiislamu Tanzania...ningefunga ubarozi wa marakani pia na ufaransa...chunguzeni kwa haki hakuna siku muarabu kawahi kutoa msaada wowote kwa africa wenye maana ila yeye ndiyo nanataka kujinufaisha na Afrika...hapa tz hakuna hata km 1 ya barabara iliyo jengwa,na muarabu au fedha za muarabu ...muarabu ajawahi kusaidia wakimbizi wa africa kwa msaada wowote wa chakula walq maji labda .. wala kutoa madawa
 
Atoswe baharini, sipati picha jinsi waZanzibar watakavyopata shida huku Bara baada ya utawala wa Samia kukoma.
Siyo bara tu hata zanzibari watalia na kusaga meno ...samia kawapotosha sana wazanzibar..na hii ndiyo madhara ya kukubali kuongozwa na kushikiwa akili na mwanamke...mfano sekta ya utalii Zanzibar, kama siyo bara basi watalii wasinge kwenda Zanzibar kwa sababu muungano ndiyo umezuia itikadi za kipumbavu za kinafiki za Kiislamu kushamili huko vinginevyo hakuna watalii ambao wangetaka kusikia uchafu unaoitwa Zanzibar...mambo ya kipumbavu na kianithi yangefanyika zaidi ya haya ya kupiga watu wanaokula mwezi wa ramadhani...kama siyo bara zanzibar ingesha pasuka mapande mawili ..pemba na unguja zingekuwa ni nchi mbili ...kama siyo muungano wazanzibar ngozi nyeusi wangekuwa awana Chao mbele ya wale wenye UARABU ...

WAZANZIBAR WASIPO VUNJA MUUNGANO KIPINDI HIKI CHA SAMIA WATAKUWA NA HALI NGUMU SANA NA HATA WAKIVUNJA MUUNGANO BADO WATAKUWA NA HALI NGUMU SANA
 
Naomba kueleweshwa.
Kwani hawa WHO ARE YOUz wakitutenga nn kibaya kitatupata?
mbona Museven na Mnanagwa na Mugabe wameshindwa kuwafanya kitu kama kweli wana nguvu?

Au ni kweli hawa mabeberu ni ma WHO ARE YOU tu maneno mengi ya taarabu vitendo 0?

Nishachoshwa na kelele zao za debe tupu.
 
Back
Top Bottom