Tanzania; katika world happiness report 2021

Tanzania; katika world happiness report 2021

ukiwa na akili inakuwa na furaha siunawaona Israel
 
Haukona nchi ilivyokuwa inamlilia shujaa wetu wa Africa ? Unategemea furaha itokee wapi
Kaifanyia nini Africa? Ilihali kaiacha nchi (Tanzania) imechakaa sababu ya ukichaa wake.
Yule alikuwa shujaa wa Chato tu, ambako walineemeka pakubwa na mambo ya ovyo ya Magufuli.
 
BIBI CHOKOCHOKO ATABISHA WAKATI HAJATOA AJIRA TANGU 2016.
 
Propaganda hizi, Tanzania inashindwaje na nchi kama USA kwa mfano..., kila siku wamefungiwa ndani kama kuku wa kisasa, furaha wanatoa wapi?
 
Back
Top Bottom