Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ keeping on monopolizing state of art medical 😷 services in the region 🌍

vijana wa ufipa watasema kuwa wao huduma hizi hawazitaki ..wanachotaka wao ni milo mitatu na amani ya kutosha😳😳😳
, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watapata tabu sana
 
vijana wa ufipa watasema kuwa wao huduma hizi hawazitaki ..wanachotaka wao ni milo mitatu na amani ya kutosha 😳😳😳
Watasema hospitali itamsaidia nini mwananchi aliyeko tabora teh teh ufipa bwana
 
Watasema hospitali itamsaidia nini mwananchi aliyeko tabora teh teh ufipa bwana



wataambiazana wapinge ili isijengwe wengine watadirikim kusema eti hakikua kipaumbele cha serikali kwahiyo mradi usimamishweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwanza wanunue vifaa waziweke kwa majengo yaliyomo.
Sasa kuna kifaa gani hatuna?
Hata hospitals nzuri zaidi hata hii tunazo nyingi tu that's why I said we are keeping monopolizing the service sio kama ndio tunaanza
 
Kama ingekua ni Kenya hapo should be 40 billion Kenyan shillings, because wezi ni wengi
Infact hiyo ndiyo ilikua hoja yake, alitaka kusema hiyo pesa ni ndogo sana haiwezi tosha ila akakumbuka SGR ya Tz ilivyo na viwango na inajengwa kwa pesa ndogo, akakumbuka Tz ilivyo na bei ndogo ya cement, kokoto, mchanga akabadili gear angani [emoji2]
 
Category 2 SGR mnayojenga na mashida shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…