Kwa hiyo unashauri nini ?km lenya kachukua maamuzi na km tanzania kachukua maamuzi..Kenya ana haki ya kuwahami raia wake kama anavyoona inafaa.
Kujaribu kujifariji, kuuficha, kuukimbia huu ugonjwa haisaidii. Hakuna asiyeujua ukweli huo. Kilichopo hapa chini kutuhusu sisi ni sahihi:
View attachment 1523518
Tuna matatizo ya ndani:
1. Poor handling ya ugonjwa
2. Siasa kuelekea October 2020
Zingine ni jitihada za kuhamisha magoli.
Kwa hiyo unashauri nini ?km lenya kachukua maamuzi na km tanzania kachukua maamuzi..Kenya ana haki ya kuwahami raia wake kama anavyoona inafaa.
Kujaribu kujifariji, kuuficha, kuukimbia huu ugonjwa haisaidii. Hakuna asiyeujua ukweli huo. Kilichopo hapa chini kutuhusu sisi ni sahihi:
View attachment 1523518
Tuna matatizo ya ndani:
1. Poor handling ya ugonjwa
2. Siasa kuelekea October 2020
Zingine ni jitihada za kuhamisha magoli.
Kwa hiyo unashauri nini ?km lenya kachukua maamuzi na km tanzania kachukua maamuzi..
Kila uamuzi una faida na madhara yake....
Kwani kila jirani lazima umtembelee? Majirani wengine mnasalimiana barabarani hamkaribishani nyumbani...
Huo ndio ukweli na ndio uhalisia wa maisha ya watu
Ukiwa kila jirani mna urafiki na mnajaribishana mpaka jikoni iko siku majungu yataanza miongoni mwao maana hakuna anae mheshimu mwenzake.
Na kweli ukiondoa unafiki majirani wachache sana wanabebeana mizigo mfano kuwapa chakula au kuapeleka hospitali watoto wa jirani mwenzake
Kenya sio mtu mmoja.. Kenya Ni
Taifa...na linapimwa na kuhukumiwa kwa sera na UTENDAJI wake. Mtu akisema wanatuchukia anaweza kumaanisha namna wao Kama Taifa wanahandle issues related to us. Nadhani hapo ndipo chuki ya chini chini, kijicho, husda na wivu wa Kenya huwa dhahir.
Wafuasi wa mbowe ktk ubora wao wa kudumaa akili, wanawambia wananchi watu wanakufa kama kuku na kujiweka lockdown wasiende bungeni ,Cku walipoenda kumpokea Rais wao hakuna hata kiongoz aliowakumbusha barakoa wafuasi wake wala wao wenyeweSorry boss kuna mtu yoyote ndugu yako amekufa na corona
Tanzania sisi hakuna ugonjwa au unataka tungeweka lockdown ilitufe njaa, nampongeza magu kama baba wa familia anaye jua kuisimamia familia yake vyema haigi maisha ya jila zake.
Nahisi jilani yako kama anawalisha mahindi ya kuchoma watoto wake asubuhi na wewe unaanza kuwalisha
Kila mtu aisimamie familia yake kama anavyo jua kama unaona magu ajui kuongoza hama nchi nenda kenya
Umemaliza Wewe Pimbi?
Wafuasi wa mbowe ktk ubora wao wa kudumaa akili, wanawambia wananchi watu wanakufa kama kuku na kujiweka lockdown wasiende bungeni ,Cku walipoenda kumpokea Rais wao hakuna hata kiongoz aliowakumbusha barakoa wafuasi wake wala wao wenyewe
"Kwamba Kenya kama nchi ina vigezo vyake vya kuwahami au kutowahami raia wake (au kwa kujifariji tu) dhidi ya ugonjwa mbaya wenye kuambukiza na hata kuuwa." Kwanini hilo liwe subject of any discussion in Tanzania likihusisha watu wenye akili zao?
Kuna tatizo gani na ukweli huo kiasi cha kukimbilia kwenye hisia zisizokuwa na uhakika?
Tofauti ya hisia hizo na za hawa hapa ziko wapi?
1. Kabila fulani ni wezi
2. Kabila fulani ni Malaya
3. Kabila fulani ni waongo
4. Nk, nk.
Au fulani ni mchawi?
Zinaitwa ramli chonganishi. Kwetu hizo ni jinai ila sisi kwa wengine ni halali.
Pathetic.
MTZ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sioni Uchonganishi wake lakini. Ni kwamba Kenyan's systematically wameaminishwa they are bigger than everyone in this so called Eastern region. Wanaamini wao ni Bora zaidi, werervu zaidi nk."Kwamba Kenya kama nchi ina vigezo vyake vya kuwahami au kutowahami raia wake (au kwa kujifariji tu) dhidi ya ugonjwa mbaya wenye kuambukiza na hata kuuwa." Kwanini hilo liwe subject of any discussion in Tanzania likihusisha watu wenye akili zao?
Kuna tatizo gani na ukweli huo kiasi cha kukimbilia kwenye hisia zisizokuwa na uhakika?
Tofauti ya hisia hizo na za hawa hapa ziko wapi?
1. Kabila fulani ni wezi
2. Kabila fulani ni Malaya
3. Kabila fulani ni waongo
4. Nk, nk.
Au fulani ni mchawi?
Zinaitwa ramli chonganishi. Kwetu hizo ni jinai ila sisi kwa wengine ni halali.
Pathetic.
Hapana
KwannHapana
We ni mtz au mkenya.
Mnafiki yeyote wa kitanzania anaesema TANZANIA kuna Corona hawezi kukuletea hata watu 2 tu wa karibu yake walio wai kuugua na mmoja aliefariki kwa korona watabaki wakisema tu watu mitaani huko wanajifia tu swali la kujiuliza hao watu wanaojifia hawana ndugu wanazikwa wapi ? Sasa hapo ndo utagundua kama wanaosema hivyo ni kizazi cha muheshimiwa mleviWewe shabiki? Ndanda au Namungo?
[emoji119][emoji445][emoji443] do you know, somebody who know, somebody who know, somebody who know, [emoji445][emoji444]somebody who know, somebody who know, somebody who know, somebody who know, somebody who know, [emoji444][emoji443][emoji445]Mnafiki yeyote wa kitanzania anaesema TANZANIA kuna Corona hawezi kukuletea hata watu 2 tu wa karibu yake walio wai kuugua na mmoja aliefariki kwa korona watabaki wakisema tu watu mitaani huko wanajifia tu swali la kujiuliza hao watu wanaojifia hawana ndugu wanazikwa wapi ? Sasa hapo ndo utagundua kama wanaosema hivyo ni kizazi cha muheshimiwa mlevi
Sioni Uchonganishi wake lakini. Ni kwamba Kenyan's systematically wameaminishwa they are bigger than everyone in this so called Eastern region. Wanaamini wao ni Bora zaidi, werervu zaidi nk.
Hilo swala huja kwa mfumo, na hiki kitu kipo kila nchi, mfano Nchi nyingi za ukanda wa kusini mwa Afrika zilipatiwa msaada mkubwa Sana na Tanzania kujikomboa lakini huwezi kukuta watu hawa wakiifundisha historia hiyo shuleni..lazima kuwe na sababu.
For Kenya Hilo limefanyika for too long mpaka Sasa imekuwa just a natural thing for Kenyans to think they are better than Tanzania in everything. They are just born that way nowdays.
Lakini pia kila kitu wanafanya comparison Ni Tanzania, every article you read they are just comparing with whatever happening down here.. mtoto anayekula kwake huku macho yanatazama sahani ya mwenzake ana husda na kijicho. And thats Kenya.
We connect tu! Usipate shida, vikigoma badilisha, vikikataa kabisa achana navyo. Point ilikuwa ni kumuonesha brazaj tukisema Wakenya wanahusda hatuangalii onyango na njuguni tunaangalia muelekeo wa sera zao na maamuzi yao Kama Taifa. Na sio kitu kigeni kuonesha Hilo nimetumia mifano ya kusini mwa Afrika jinsi walivyoneglect katika kutunza historia ya ukombozi...ambazo nadhani ni juhudi za makusudi.Sioni uliyoyaandika hapa yanahusiana vipi na mada hii.
Labda ungehitaji kuja na uzi wenye kuangazia hilo?
Hapa mbona ni mambo ya Ngoswe? Labda kama hutaki ya Ngoswe aachiwe Ngoswe mwenyewe.
Ushauri uko wazi. Corona Kenya ni issue iwe issue isiwe issue kwa Tanzania inatuhusu sisi nini?
Hali kadhalika sisi tuonavyo kuhusiana na Corona inawahusu nini wao?
Makelele ya nini basi?
Soma mada ushauri uko wazi:
"Kwamba Kenya kama nchi ina vigezo vyake vya kuwahami au kutowahami raia wake (au kwa kujifariji tu) dhidi ya ugonjwa mbaya wenye kuambukiza na hata kuuwa." Kwanini hilo liwe subject of any discussion in Tanzania likihusisha watu wenye akili zao?
Huo ndiyo ulio ushauri kuntu.
Wewe hauuoni au hadi ukumbushwe "to mind your own business?"