Ok
Pia hata kenya wanajadili watanzania. Na wao unawaambiaje kwenye forum zao?
By the way Kenya au Tanzania wakijadili inakuathiri au inaathiri nn?
Yaani sawasawa na kelele za mbu nje ya neti. Ila kelele za mbu ndani ya neti zikimsumbia mhusika atajijua
Pimbi kwelikweli...analazimisha mawazo yake kila mtu ayakubali
We connect tu! Usipate shida, vikigoma badilisha, vikikataa kabisa achana navyo. Point ilikuwa ni kumuonesha brazaj tukisema Wakenya wanahusda hatuangalii onyango na njuguni tunaangalia muelekeo wa sera zao na maamuzi yao Kama Taifa. Na sio kitu kigeni kuonesha Hilo nimetumia mifano ya kusini mwa Afrika jinsi walivyoneglect katika kutunza historia ya ukombozi...ambazo nadhani ni juhudi za makusudi.
Supu ushakunywa!?
We connect tu ikikupa shida unaacha.... mbona ugumu!? Unipangie niongee wapi tena!?Ya Ngoswe na aachiwe Ngoswe mwenyewe ndiyo msingi wa mada kama hauko huko uko kwenye mada nyingine, hoja nyingine, uzi mwingine, nk, kama unavyoweza kupotea njia au hata choo na kuingia cha jinsia nyingine.
Jiridhishe kuwa uko kwenye mada vinginevyo tafuta uzi wa kuoanisha hoja zako au hata kufungua uzi mpya.
Kama na supu umekunywa na bado kulia hata kushoto kwako hupajui wahi hospitali inaweza kuwa umechanganya supu kwa chibuku.
Walikutana wapi watu milion 40 kutuchukia sisi wote tulio idadi kama hiyo,
[emoji120]Hebu chukua muda usome kuhusu SOCIAL ENGINEERING, baadaye urudi hapa ujijibu swali hili ulilouliza.
We connect tu ikikupa shida unaacha.... mbona ugumu!? Unipangie niongee wapi tena!?
Acha kufoka brazaj [emoji28]
We see the same but differ in interpretation. Na Mwenye maana haambiwi......?! Sasa baki na uelewa wako na Mimi nabakia na Wangu ...[emoji1241][emoji3590]
Ugonjwa unafichika????Unapoficha ukweli kwa watu wako wa ndani na nje (hasa kwa ugonjwa wa hatari) lazima uogopwe kama ukoma. Kenya wameshtuka. hawana uhakika na kinachoendelea. Kwa nini unapokuwa na matatizo usisemwe. Ukisemwa una-react. lazima watu wajadiri
Ugonjwa unafichika????Kenya ana haki ya kuwahami raia wake kama anavyoona inafaa.
Kujaribu kujifariji, kuuficha, kuukimbia huu ugonjwa haisaidii. Hakuna asiyeujua ukweli huo. Kilichopo hapa chini kutuhusu sisi ni sahihi:
View attachment 1523518
Tuna matatizo ya ndani:
1. Poor handling ya ugonjwa
2. Siasa kuelekea October 2020
Zingine ni jitihada za kuhamisha magoli.
Ugonjwa unafichika????
Tena gonjwa lenyewe la mlipuko, unafichika???
"achilia mbali jiwe ....."Kwamba basi ugonjwa ulikwisha?
Utakuwa umerejea kutoka anga za juu.
Hata mtoto mdogo achilia mbali jiwe wanajua mwendo ni kutokutoa takwimu - kuficha hali halisi.