Tanzania Kenya rivalry productive or a waste of time?

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
There is a history of rivalry between Wakenya na Wabongo, I feel like inaharibu zaidi ya kujenga, whenever something good happens to, say Kenyans, Wabongo (most) will find faults badala ya kupongeza, I haven't followed closely kuona whether Kenyans do the same to Tanzanians whenever something good happens in their country.

Can we stop this for our own good? Fine, tukosoane, but give credit where credit is due. I have a feeling watu kama akina motochini huwa wanaenda kuvaa miwani special ili kutafuta katatizo kamoja tu in achievements za WaK na kuja kuwasema.

Tuache hii bad blood mazee. Hii ni forum yetu. Tukiamua kujisifia, for whatever reason, we have the right to. I adore Kenya, ila haimaanishi kuwa when something great happens in Bongo I'll start sulking, on the contrary nitafurahi nanyi. Lets all just appreciate each other and argue constructively.

Asanteni

Proudly Kenyan.
 
Proudly Kenyan?

..give credit where credit is due?
 
Tatizo lenu ni thinking East Africa revolves around you. Sometimes I pity you on the many occasions you are proved wrong.
Ila it's a nice observation. We do need to strike a judicious mean between economic rivalry and good neighbourliness.
 
msemakweli, I get where you are coming from, I might even agree with you if not for the fact that what Kenyans 'brag' about is usually true. Sasa tukiwa hapa Kenyan forums na kujipongeza kuna ubaya gani?
 
Last edited by a moderator:
Wakenya mmezidi majigambo sasa kuna muda yanakua kero ndio maana unaona sio kila mnachofanya tunawasupport
 
Tukisifiana haileti raha.. kukosoana ndio poa inaleta challenge na kukufanya uongeze effort
 
Tumewasaidia kutatua mauaji ya kimbari wakati wa kibaki !
Nyie mmetisaidia nini Zaidi ya kutuhujumu Kama mlivvyo faNya kwa dili zetu za Uganda na Rwanda
 
Hayajengi na ni utoto. Tunahitaji a united africa sio ubishani wa kipuuzi.
Mtanzania mzalendo.
 
Tatzo majiran zetu hawa wanajifanya much know kumbe watumwa tu wa ngoz nyeupe. Afterall hampunguzii mtu ucngiz acha waendelee kuchonga tuuu wadhani ss tuna wamaind. Who cares kama wanatoa mipovu isiyo na maana.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tatzo majiran zetu hawa wanajifanya much know kumbe watumwa tu wa ngoz nyeupe. Afterall hampunguzii mtu ucngiz acha waendelee kuchonga tuuu wadhani ss tuna wamaind. Who cares kama wanatoa mipovu isiyo na maana. Watu yafaa wawaze maisha yao na familia zao sio kusifia upuuz upuuz tu. Eti battle ya nairob v bongo what for? Yaan wahindi wajenge migorofa yao mm ndo inisumbue!!? Watu wazima tunasema mind ur own business

I haven't followed closely kuona whether Kenyans do the same to Tanzanians whenever something good happens in their country.

This is why your post is shity! How dare you post a one side based story!

Go back and uone Kenyans wanafanya nini halafu urudi

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Ni sawa na USA wakae na Russia peacefully all the time
 
Hawa Wakenya sio TZ tu wako kila forums za Afrika kubishana na kujilinganisha kwa vitu vya kijinga na kishamba kabisa. Mfano hiyo reli walioizundua karibuni na zile treni za kizamani wanazipost kila mahali wakati Ethiopia,Angola na Nigeria walijenga lakini hakukuwa na kelele

Nil
 
Plus historia pia imeleta utengano kati ya nchi kutokua ukaribu sana
Mf neno nyang'au kutoka kwa nyerere
 
Tatzo majiran zetu hawa wanajifanya much know kumbe watumwa tu wa ngoz nyeupe. Afterall hampunguzii mtu ucngiz acha waendelee kuchonga tuuu wadhani ss tuna wamaind. Who cares kama wanatoa mipovu isiyo na maana. Watu yafaa wawaze maisha yao na familia zao sio kusifia upuuz upuuz tu. Eti battle ya nairob v bongo what for? Yaan wahindi wajenge migorofa yao mm ndo inisumbue!!? Watu wazima tunasema mind ur own business

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
aliyeanzisha uzi wa Nairobi vs bongo ni mtanzania
 
There is a history of rivalry between Wakenya na Wabongo, I feel like inaharibu zaidi ya kujenga, whenever something good happens to, say Kenyans, Wabongo (most) will find faults badala ya kupongeza, I haven't followed closely kuona whether Kenyans do the same to Tanzanians whenever something good happens in their country.

Can we stop this for our own good? Fine, tukosoane, but give credit where credit is due. I have a feeling watu kama akina motochini huwa wanaenda kuvaa miwani special ili kutafuta katatizo kamoja tu in achievements za WaK na kuja kuwasema.

Tuache hii bad blood mazee. Hii ni forum yetu. Tukiamua kujisifia, for whatever reason, we have the right to. I adore Kenya, ila haimaanishi kuwa when something great happens in Bongo I'll start sulking, on the contrary nitafurahi nanyi. Lets all just appreciate each other and argue constructively.

Asanteni

Proudly Kenyan.

We are the same people (Africans), we should cooperate in good faith, respect each other, and understanding our difference, but still working together like Europeans.
 
Muzik wa wabongo mmeuona eeh hadi umekuja kuomba pooh. Na kwa nini usiangalie kama wakenya wenzio pia hukunya mbovu juu yetu maana hapo umeona wabongo tuu ndio wenye kwere mkisifiwa
 
Back
Top Bottom