Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku.
Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya kuokoa michomo kadhaa.
Wakati Stars wakitolewa na kuwaacha Tunisia na Equatorial Guinea wakisonga mbele kwenye group J, wawakilishi wengine wa Afrika Mashariki Kenya nao wameyaaga mashindano hayo ya baada ya hapo jana kutoka sare ya goli 1 β 1 dhidi ya mafarao timu ya taifa ya Misri.
Goli la Mohamed Magdy limewahakikishia wa Misri kusonga mbele katika group hilo la G, na kuwaacha Harambee Stars hoi licha ya bao la Abdallah Hassan.