Tanzania, Kenya zapewa mkono wa kwaheri AFCON

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku.

NDOTO YA TANZANIA KUSHIRIKI AFCON 2022 YAZIMWA NA EQUATORIAL GUINEA | Full  Shangwe Blog

Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya kuokoa michomo kadhaa.

Wakati Stars wakitolewa na kuwaacha Tunisia na Equatorial Guinea wakisonga mbele kwenye group J, wawakilishi wengine wa Afrika Mashariki Kenya nao wameyaaga mashindano hayo ya baada ya hapo jana kutoka sare ya goli 1 – 1 dhidi ya mafarao timu ya taifa ya Misri.
Goli la Mohamed Magdy limewahakikishia wa Misri kusonga mbele katika group hilo la G, na kuwaacha Harambee Stars hoi licha ya bao la Abdallah Hassan.
 
Wapewe best loosers
 
Stars kipindi kile walibebwa na Uganda kwa mpango uliyosukwa mahususi na akina Makonda ili ionekane baada ya kushindwa kufuzu toka mwaka 1980 wamekuja kufuzu kwenye utawala wa awamu ya tano ili tu kumpa kik Magufuli (Rip).

Ukweli unabaki palepale kwamba Tanzania kuingiza siasa kwenye kila kitu ndio faida yake hiyo waje watizame kwenye runinga. Bure kabisa.
 
Hahahhaa nimecheka bureee
 
Back
Top Bottom