Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa , Bro Mshana Una vituko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii Nchi aliyeiloga bila shaka alikuwa katili sana ! maana kailoga kuanzia Unyayo hadi nywele.,[emoji23]
Karoga hadi jasho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo Wa Dar anaeteuliwa ndio anapajua msigiri??Sasa mwalimu wa shule ya msingi kutoka hapa misigiri umpeleke dar, hajui chochote, acha utani jamas angu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787]Hii Nchi aliyeiloga bila shaka alikuwa katili sana ! maana kailoga kuanzia Unyayo hadi nywele.,[emoji23]
Karoga hadi jasho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nchi ipo chini ya kakikundi kadogo, ili tufike upatakapo lazima ccm kuondoka madarakani,Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme .
Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni kutoka usalama wa Taifa! kwamba Raia yeyote ambaye ni mfanyakazi tu labda wa kiwanda cha Urafiki , KTM , UFI , au Mwalimu wa shule ya Msingi Mtakuja, Ikolo au Ibonde hana haki ya kuteuliwa , na ikitokea kateuliwa basi haraka tu anaitwa Kitengo.
Cha kuchekesha sasa Wateuaji wenyewe , mfano Rais na Mawaziri hawajawahi kuitwa Kitengo , au Watoto wa viongozi wakiteuliwa wao hawaitwi vitengo ila utasikia kwamba ni Koneksheni .
Hii Nchi aliyeiloga bila shaka alikuwa katili sana ! maana kailoga kuanzia Unyayo hadi nywele.
Poor Tanzania!
Noma sana !'Think tank' ya Taifa inazidi kuchochora
Kwa mazoea vijana ndio tegemeo la taifa kwa Mawazo mapya Mawazo chanya Kwa utayari Kwa nguvu kazi Kwa uchapakazi Weledi Uzalendo Nknk Bongo bado ziko timamu, damu zinachemka na miili imejaa nishati.. Kwa muktadha huo na kwa miongozo sahihi na misingi imara vijana ni hazina kubwa kwa maendeleo...www.jamiiforums.com
'Think tank' ya Taifa inazidi kuchochora
Sent using Jamii Forums mobile app