Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

'Think tank' ya Taifa inazidi kuchochora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nchi ipo chini ya kakikundi kadogo, ili tufike upatakapo lazima ccm kuondoka madarakani,

Why kila nafasi jaza watu wa vitengo, kwani malengo ya kuanzisha kitengo ilikua ni kuteuliwa kwenye nafasi mbali mbali , au kutekeleza majukum yao kwa niaba ya taifa kwa mjibu wa majukum yao,
Tuna fikra za ajabu sana taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…