Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo!
Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana.
Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na UWEZO mkubwa wa kuwakamata wabadhilifu kwa speed Ile Ile ya Hayati Magufuli lakini ukweli usemwe alifungwa speed gavana na Rais Samia lengo likiwa ni kuifuta picha ya ukali alivyokuwa nayo Dr Hayati Magufuli jambo ambalo wakurugenzi kama wale yule wa Tamesa, wakina waziri BASHE WALIITUMIA mianya hiyo kumpiga mama uku wakivaa majoo ya uzalendo.
Je NINI Rais Samia afanye Ili aepuke KUPIGwa kama anavyopigwa?
Je serikali za Tanzania zinaajiri vibaka? wezi na majambazi?