Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

chelski bado wanaongoza dk 77 1 - 0 n castle..
 
Hakuna timu mbovu kama hii ya tanzania kili stars,ovyo sana ni timu mbovu kuliko timu yoyote ktk mashindano haya,mungu jaalia wafungwe 5 na watolewe,ili kina julio wakome kuchagua wachezaji kufata usimba na uyanga.
 
Yaani wachezaji walewale ambao hawajaleta mafanikio yoyote, inabidi kuandaa wachezaji wengine na sio hawa akina Said Maulid..
 
Hakuna timu mbovu kama hii ya tanzania kili stars,ovyo sana ni timu mbovu kuliko timu yoyote ktk mashindano haya,mungu jaalia wafungwe 5 na watolewe,ili kina julio wakome kuchagua wachezaji kufata usimba na uyanga.

mkuu kwenye hii ya julio hakuna uyanga
 
Hivi wabongo tunafahamu nini? Uchumi mbovu, siasa mbovu, michezo ziro!!
 
kwa ligi ya timu mbili hata kama angechukua nusu kwa nusu bado matokeo yangekuwa ni haya tu.Huyu Tegete amefanya nini kwenye international games za klabu yake?Boko ni mfungaji 'mzuri' kwenye ligi dhaifu.Bocco ni legelege mno na hana ball control ndio maana Maximo na Poulsen walikuwa wakimweka benchi tu.Mkuu hatuna ligi,kocha atowe wapi wachezaji,ndio maana nampenda sana Poulsen ana-work na wachezaji duni mno.
 
Hivi kumbe pamoja na kufungwa na matokeo yakibaki hivi hadi mwisho bado tunaweza kusonga mbele! Inatumika "best loser" ati.
 
torres kawaongezea goli chelski..
n castle 0 - 3 chel5ea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…