Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

full time.
KILIMANJARO STARS 1 - 2 ZIMBABWE. tumepita tutakutana na MALAWI katika robo fainali. Mia
 
Tanzania kabebwa eti ni best looser no2,atacheza na malawi juma4,na zenj atacheza na rwanda j3,wote watatolewa hakuna timu kabisa si bara wala zenj wote wabovu.
 
Vp hatujapata hata u best lozer

Tumepata. Tutakutana na MALAWI. Hawa watangazaji walikuwa wanapotosha kwamba tutakutana na AMAVUBI YA RWANDA. Wale Rwanda tulikuwa nao kundi moja. hatuwezi kukutana nao kwenye robo fainali. so tutakipiga na MALAWI. Mia
 
Haya tumepata nafasi ya best loser,yaani best loser no moja ni zanzibar na wapili ni TZ,

Tumekuwa ni watu wa kubahatisha kila siku
 
Bora simba na kocha wao chiriku wamefungws midomo walikuwa wanachonga sana.
 
Duh kumbe tumepita! julio atajifunza kitu kuwa kuwapanga wachezaji wa simba ni noma! hakuna kitu hao simba.
 
Tumepata. Tutakutana na MALAWI. Hawa watangazaji walikuwa wanapotosha kwamba tutakutana na AMAVUBI YA RWANDA. Wale Rwanda tulikuwa nao kundi moja. hatuwezi kukutana nao kwenye robo fainali. so tutakipiga na MALAWI. Mia

Bora tuage tu makocha hawa sio ni wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…