Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media

Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.

Screenshot_20200727-151757~2.png
 
YouTube, Instagram na Facebook ni social media but also social networking apps na sites. Thats why matumizi yake ya data yapo juu sana.

Kampuni za simu wanatakiwa kuset bundle za juu zaidi kwaajiri ya Instagram ili watumiaji wake waweze jiachia bila shida.
 
After all bado internet tariffs za Tanzania ni cheapest kuliko maeneo mengi Africa
 
Pinterest aisee nilikuwa sijawahi itumiaa kabisaa
 
Namashaka na huu utafiti. Haiwezekani Millard Ayo ana wafuasi wengi zaidi katika instagram kuliko facebook halafu wanasema Tanzania tunatumia zaidi Facebook.
 
After all bado internet tariffs za Tanzania ni cheapest kuliko maeneo mengi Africa
Dah basi tunahitaji kuwekeza zaidi hii sekta maana dunia ya sasa na internet ikiwa gharama tutapitwa na mambo mengi ya msingi.
 
Namashaka na huu utafiti. Haiwezekani Millard Ayo ana wafuasi wengi zaidi katika instagram kuliko facebook halafu wanasema Tanzania tunatumia zaidi facebook
Mimi haya mambo ya followers & following nayatilia maanani zaidi Instagram. Nadhani kwanza ndo yamepata umaarufu zaidi huko.
Kuona mtu ana followers wengi insta kuliko fb sio jambo la ajabu japokuwa fb ndo inaongoza kwa users.
 
Tanzania kwa youtube hapo nakubali. Ukiangalia Youtube TV channel za habari, matukio na burudani nyingi zao ni za watanzania...Tena wenye channel wakiweka video, masaa mawili karibu views 10k.
Kwa kifupi, Tanzania wana Internet kwa wingi, hata instagram inayo kula bando sana bado wanongoza
mkuu, hizi tafiti zilifanywa na taasisi/ shirika gani?
 
Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media

Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.

Alaf nashangaa watu humu wakawa wanasema nchi yao ndio inaangalia nyimbo za wasanii wetu watz kuliko sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom