Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Naton Jr,

Tunawaacha sehemu moja baada ya nyingine, unajua Tz tulilala mnoo ikapelekea hawa wasenge hasa Wakenya kutengeneza data mpk za kwenye madini ya tanzanite eti wao ndio wauzaji wakuu but nowadays ukweli unafichuka tunaanza kurejesha makoloni yetu taratibu [emoji3][emoji3]
 
Pinterest aisee nilikuwa sijawahi itumiaa kabisaa

Nzuri sana Mkuu.

IMG_0156.jpg
 
Haihitaji sana uchunguzi wa taasisi, hata ww mwenyewe unawez jionea
Only 30% of Tanzania's population have access to the internet. 94% of Kenyans use the internet on a daily basis.
 
only 30% of Tanzania's population have access to the internet. 94% of Kenyans use the internet on a daily basis.
Doesn't change tupo wengi YouTube kuwashinda. Na nipate Evidence ya iyo 30% na 94%, sio unaweka vitu bila hata data from biased source
 
Back
Top Bottom