Tanzania kinara wa Demokrasia na Utawala Bora

Iboya2021

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
1,616
Reaction score
1,481
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.

Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.

Rais Samia kazi iendelee.
 
Demokrasia y’a nini ? Ipi? Au una maana y’a Demokrasia ambayo sisi hatuielewi
utakuwa ni mbishi asiye na sababu kukataa kuwa tanzania ni nchi ya democrasia usiwaangalie hao wanao chfua nchi bila sababu ya msingi kuna huru wa kila aina angalia mataifa mengine yanavyoata shida linganisha na tz
 
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.

Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.

Rais Samia kazi iendelee.
Iboya Ni mtu asie na akili
 
[/QUOTEQ

Iboya upondotoni au unaota Bado🏃.
 
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.

Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.

Rais Samia kazi iendelee.
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko Lumumba au ulimsikia peke yako? Tumemsikia anajiumauma anasema "tumesifiwa kwa ushirikishajj wanawake, uzingatiaji baki za kinamama na watoto na yale ambayo tumerekebishwa tutayafanyia kazi". Tutajieni hayo aliyoyaremba kwa lugha laini ya " ambayo tumerekebishwa" ni yapi?
Wenye akili hatutegemei Kabudi aeleze kila alichokosolewa kwa sababu ameumbwa kusifu na kuabudu watu.
 
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.

Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.

Rais Samia kazi iendelee.
Upumbavu mtupu. Unamnukuu mtu aliyeokotwa majalalani?
 
Demokrasia y’a nini ? Ipi? Au una maana y’a Demokrasia ambayo sisi hatuielewi
Si Da Mange kapewa Passport na mama wa Taifa?

20211118120353.jpg
 
Iboya Ni mtu asie na akili
HUYU ni mtu mwenye akli nyingi sana ziko sawa na za wazungu tu maana analoliwaza yeye na wazungu wanawaza hivyo sasa hivi nawaza tanzania tukosaama gaidi yuko ndani anatumikia maovu yake huku uraiani ni shangwe la kufa mtu amani democrasia mpaka wazungu wamesema tanzania ndiyo nchiinayoongoza kwa watu wenye furaha africa mashariki na kati
 
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.

Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.

Rais Samia kazi iendelee.
Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom