utakuwa ni mbishi asiye na sababu kukataa kuwa tanzania ni nchi ya democrasia usiwaangalie hao wanao chfua nchi bila sababu ya msingi kuna huru wa kila aina angalia mataifa mengine yanavyoata shida linganisha na tzDemokrasia y’a nini ? Ipi? Au una maana y’a Demokrasia ambayo sisi hatuielewi
YAANI NYIE MNAOHANGAIKA NA VIUONGO VYENU VYA AJABU AJABU MTANYOOKA TU LAKINI KIMA TAIFA TUNAJULIKANA TUKO SAFIIIISio lazima utuletee majungu na uongo wa hovyo jamvini
Iboya Ni mtu asie na akiliLeo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.
Rais Samia kazi iendelee.
Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.
Rais Samia kazi iendelee.
[/QUOTEQ
Iboya upondotoni au unaota Bado🏃.
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko Lumumba au ulimsikia peke yako? Tumemsikia anajiumauma anasema "tumesifiwa kwa ushirikishajj wanawake, uzingatiaji baki za kinamama na watoto na yale ambayo tumerekebishwa tutayafanyia kazi". Tutajieni hayo aliyoyaremba kwa lugha laini ya " ambayo tumerekebishwa" ni yapi?Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.
Rais Samia kazi iendelee.
Upumbavu mtupu. Unamnukuu mtu aliyeokotwa majalalani?Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa hawana kazi zakufanya wanajichosha na nchi inasonga mbele.
Rais Samia kazi iendelee.
Si Da Mange kapewa Passport na mama wa Taifa?Demokrasia y’a nini ? Ipi? Au una maana y’a Demokrasia ambayo sisi hatuielewi
HUYU ni mtu mwenye akli nyingi sana ziko sawa na za wazungu tu maana analoliwaza yeye na wazungu wanawaza hivyo sasa hivi nawaza tanzania tukosaama gaidi yuko ndani anatumikia maovu yake huku uraiani ni shangwe la kufa mtu amani democrasia mpaka wazungu wamesema tanzania ndiyo nchiinayoongoza kwa watu wenye furaha africa mashariki na katiIboya Ni mtu asie na akili
Hovyo kabisa.Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.