Tanzania kuacha kuiuzia Kenya Parachichi, yaamua kusafirisha moja kwa moja Ulaya kwa kutumia ndege yake mpya ya mizigo

Who can call such a fool baba Lao? " all the wrong moves he has made" eventually Corona may kill him spare us the shit and look for him wherever he may be hidding
 
Subiri kidogo wewe utaongoza kundi la watu watakaomuita Magufuli baba lao. Wasomali wanawatetesha, bado mnadhani mnaweza kupambana na TZ, shithole country ninyi
 
Hii majungu yote ni ya nini mataga and today is Sunday.By the way Kenya ilikufanyia nini 24/7 ni matusi tuu.Ukiamka Kenya ukilala Kenya eeeh😂😂😂
 
MY TAKE; Kwa mwendo huu lazima wakenya watamzushia kifo Magufuli. Magufuli endelea kuwabana hadi wakuite "baba lao".
Acha uzushi nchi yetu haijanunua ndege ya mizigo , nchi yetu haiko vizur sana ktk international trade. Hata mahindi tunalazimisha kuuza Kenya wakati kuna nchi nyingi kama DRC ,Zimbabwe wanahitaji mahindi
 
Zimbabwe walikua wazalishaji wakuu wa mahindi Afrika enzi hizo ikiitwa Rhodesia.
 
Who can call such a fool baba Lao? " all the wrong moves he has made" eventually Corona may kill him spare us the shit and look for him wherever he may be hidding
Tulia ww bwana mdogo hata mwezi humu JF huna unazungumza pumba !!! Pumbavuuu
 
Acha uzushi nchi yetu haijanunua ndege ya mizigo , nchi yetu haiko vizur sana ktk international trade. Hata mahindi tunalazimisha kuuza Kenya wakati kuna nchi nyingi kama DRC ,Zimbabwe wanahitaji mahindi
Mkuu ni kweli ya kwamba kuna nchi nyingi zina hitaj mahind, lkn kuna factor ya proximity pia soko la kenya tayar wa tz wamelizoea saanaa lkn i am sure wafanya boashara wa mazao Tz wana weza fanya boashara popote
 
Back
Top Bottom