Huko CCM hakuna mwenye akili. Ramani ya maeneo ya dhahabu ipo na inajulikana kwa muda mrefu na wenye akili wote. Mfano pale Geita, GGM amejiweka katikati kabisa ya mkanda wa dhahabu (gold belt).Kwani hiyo ramani haipo? Wanaosoma geology course ya geology of Tanzania mambo yote yapo hadharani.
Aisee duHuko CCM hakuna mwenye akili. Ramani ya maeneo ya dhahabu ipo na inajulikana kwa muda mrefu na wenye akili wote. Mfano pale Geita, GGM amejiweka katikati kabisa ya mkanda wa dhahabu (gold belt).