miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
πππ Polepole Hai (Hai Hai)/ na Bashiru Haiii (Hai Hai) πΌπ€Simu waziite polepole katiba, polepole v8, polepole X na polepole pro max
waTZ wameingiliwa mpaka mitandao inazimwa, kisa matokeo ya Uchaguzi ni lazima waogopeππππ.. watanzania walio wengi wamekata tamaa na nchi yao, wamechoka vibaya.. ukipitia comments za huu uzi unapata picha kamili.
Mitano tena.. π₯π₯
Hakuna wateja kwasababu serikali imewafukuza. KivipiGharama za uendeshaji ni kubwa kuliko return, matokeo yake wakashindwa kabisa maana wateja hakuna
Unapiga mahesabu ya mwaka mzima as if umeshaongea na wateja kuwa watakuja kulala kila siku. Inaonesha hujawahi kufanya biashara weweNgurdoto Hotel aisee, assets (buildings) wanazo sasa sijui Management na Business Manager wa Ngurdoto wamewaza nini mpaka kukubali kuifanya iwe Hostel za wanafunzi kwa gharama ya Tsh. 400,00/- kwa mwaka.
Sasa si bora wamiliki wa hii 5-star hotel wangeitangaza upya kibiashara kwa kuifanya iwe tu kama Lodge (guest house) ya bei chee ambayo wangekula Tsh. 12,000/- kwa siku kwa kila chumba kimoja.
Hivyo chumba kimoja tu kingekuwa na uwezo kuingiza karibia Milioni 4 kwa mwaka.
Tsh. 12,000 x siku 365 = Tsh. 4,380,000/- kwa mwaka kwa chumba kimoja.
Sasa sijui wanavyo vyumba vingapi jumla, Maana hapo makadirio niliyopiga ni ya chumba kimoja tu.
Na kwa hadhi ya brand ya Ngurdoto, kibiashara kwa model wangefaidika zaidi maana resources muhimu (buildings) wanazo tayari.
Anyway, sijui lengo la wamiliki haswa ni lipi.
Mpango huu si mpya, marehemu Mengi mwishoni mwa uhai wake aliwahi kutangaza kuwa atajenga kiwanda huko Kibaha.Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
Mengi alikwisha tangaza kabla hajafariki, angejenga Kibaha.Niliongea na VIVO mwaka jana wakaniambia wana huu mpango kufungua kiwanda East africa labda wamechagua Tanzania
usiamini kila kitu mtandaoni,niamini mimi
Vitu vya kwao! Hauna uwezo wa kutengeneza simu na hatutakuwa nao, uwezo wetu ni wa kuunganisha simu, hata wewe unaweza kama pesa unayo ya kuagiza vifaa (parts), hizi simu feki tunazozisikia ni watu binafsi wanaunganisha majumbani mwao. Unapotengeneza kitu kwa kuunganisha vipuri toka nje ujue hiyo si yako kwani anayefaidika sana ni yule anayekuuzia vipuri hivyo.Tatizo wa Tanzania wengi hawapendi vitu vya kwao utumwa upo kwenye dam
HakikaKuzalisha sukari kumewashinda mnazungumzia smart phone? Hotel za ndani zinawashinda mmezigeuza hostel za wanafunzi
Tuache utani kwenyw mambo ya msingi
Acheni uongo basiTanzania kuanza kutengeneza smartphone
Ila kila kitu kina mwisho wake..waTZ wameingiliwa mpaka mitandao inazimwa, kisa matokeo ya Uchaguzi ni lazima waogope
leo Magazeti Mtanzania, Tanzania Daima nk
watuachie Jamii Forums bwana
Yani wanaona kila mtu ni mjinga.Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
Uko sahihi kabisa na ndiyo maana nikasema ni makadirio.Unapiga mahesabu ya mwaka mzima as if umeshaongea na wateja kuwa watakuja kulala kila siku. Inaonesha hujawahi kufanya biashara wewe
Awamu ya 5 na hii ya mitano tena si rafiki kwa biashara za namna hii,Uko sahihi kabisa na ndiyo maana nikasema ni makadirio.
Ukumbuke tunayoiongelea hapa ni Hotel ya Hadhi ya Nyota Tano (5) halafu chumba kiwe kwa shilingi elfu 12 kwa siku, kwa mji wa kitalii kama Arusha, its obviously ingekuwa inajaa karibia kila siku.
Na wangepata hela nyingi zaidi kuliko hii style yao ya kuifanya hostel ya wanafunzi kwa Tsh. Laki 4 kwa mwaka.
Nevertheless, ni opinions zangu tu na siyo facts, sipo katika management-board ya Ngurdoto Hotel na hivyo sijui hasa nini kiliwapata kibiashara mpaka kufikia kufanya huu uamuzi wao.
Pia sijui kama majengo ni yao au waliyakodi.
kumbe ilikuwa inatumika kwa "upigaji" pesa eeh!! πππ acha tu ifungwe.Awamu ya 5 na hii ya mitano tena si rafiki kwa biashara za namna hii,
si kwa Arusha tu Dar wengi wamefunga km Land mark ya Mbunge, kuna Bondeni zote za Dar ni Hostel
tafuta zile Bar za Open pembezoni mwa barabara zote zimefungwa ni kwamba pesa mfukoni hakuna tena, Kiongozi kesha tuasha matajiri wataishi maisha ya kishetani.
Kumbuka Ngurdoto ni Hotel ya Boss na ilikuwa na deal kulamba pesa za Serikali, kwani awamu ya 4 palifanyika semina elekezi kwa viongozi wa Seriklali km wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wabunge nk
acheni Ngurdoto ifungwe na iwe Hostel safari hii tutalimia kutumia meno kwa maendeleo ya wote