Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Zoezi hili halikufanyika kwanza kabla ya hii miradi ya Stiglas na Ndege? Kwa sababu hii ni biashara kubwa sana na masoko yake East Africa yametapakaa. Na ingeingiza pesa za kigeni kuliko Korosho, tumbaku, kahawa na pamba kwa pamoja.sijui tunakwama wapi kwa kweli!Hiyo inatumika ikiwa kama gesi lakini hapa tunazungumzia kuibadili hiyo gesi kuwa liquid.
Liquified Natural Gas (LNG) inahusisha kuiblend gas, kuongeza additives kwa ajili ya kuepusha athari za mazingira na kuifanyia liquification kwenye joto dogo sana na presha kubwa (low temperature and high pressure).
Baada ya hapo inakua tayari kuwekwa kwenye mtungi na kusafirishwa.
Hii tuliyonayo hatuwezi kuisafirisha tofauti na kutumia pipelines.
Kwa maneno ni kitu rahisi lakini hii ni project kubwa sana inayogharimu pesa nyingi.
huu ni uwekezaji unaohitaji umakini mkubwa ...................na initial investment cost yake ni kubwa ndio maana ulichelewaKwanini Zoezi hili halikufanyika kwanza kabla ya hii miradi ya Stiglas na Ndege? Kwa sababu hii ni biashara kubwa sana na masoko yake East Africa yametapakaa. Na ingeingiza pesa za kigeni kuliko Korosho, tumbaku, kahawa na pamba kwa pamoja.sijui tunakwama wapi kwa kweli!
Kweli kabisa kaka, batter late than never.Hiyo inatumika ikiwa kama gesi lakini hapa tunazungumzia kuibadili hiyo gesi kuwa liquid.
Liquified Natural Gas (LNG) inahusisha kuiblend gas, kuongeza additives kwa ajili ya kuepusha athari za mazingira na kuifanyia liquification kwenye joto dogo sana na presha kubwa (low temperature and high pressure).
Baada ya hapo inakua tayari kuwekwa kwenye mtungi na kusafirishwa.
Hii tuliyonayo hatuwezi kuisafirisha tofauti na kutumia pipelines.
Kwa maneno ni kitu rahisi lakini hii ni project kubwa sana inayogharimu pesa nyingi.
Nadhan sababu kubwa ni kwamba Stiegler's ni renewable source pia maintainance cost na risk sio kubwa kama ya LNG kama vyanzo vya maji ya Stiegler's havitaharibiwa.Kwanini Zoezi hili halikufanyika kwanza kabla ya hii miradi ya Stiglas na Ndege? Kwa sababu hii ni biashara kubwa sana na masoko yake East Africa yametapakaa. Na ingeingiza pesa za kigeni kuliko Korosho, tumbaku, kahawa na pamba kwa pamoja.sijui tunakwama wapi kwa kweli!
Kampuni gani infanya exprolationHiyo inatumika ikiwa kama gesi lakini hapa tunazungumzia kuibadili hiyo gesi kuwa liquid.
Liquified Natural Gas (LNG) inahusisha kuiblend gas, kuongeza additives kwa ajili ya kuepusha athari za mazingira na kuifanyia liquification kwenye joto dogo sana na presha kubwa (low temperature and high pressure).
Baada ya hapo inakua tayari kuwekwa kwenye mtungi na kusafirishwa.
Hii tuliyonayo hatuwezi kuisafirisha tofauti na kutumia pipelines.
Kwa maneno ni kitu rahisi lakini hii ni project kubwa sana inayogharimu pesa nyingi.
You either know little or none about LNG, its fiscal regime as well as related global business trend. By the way, running NLG plant will need electrification from SG/RHEP projectKwanini Zoezi hili halikufanyika kwanza kabla ya hii miradi ya Stiglas na Ndege? Kwa sababu hii ni biashara kubwa sana na masoko yake East Africa yametapakaa. Na ingeingiza pesa za kigeni kuliko Korosho, tumbaku, kahawa na pamba kwa pamoja.sijui tunakwama wapi kwa kweli!
stage gone very long time ago.Kampuni gani infanya exprolation
kampuni gani ilihusika? kwani si process au ilisimika mitambo ikasepa? kampuni ndo nauliziastage gone very long time ago.
Uhakiki una muda wake. Tujifunze wengine wamefanyaje kwenye eneo la gas. Mazuri tuyabebe...yenye utata tuachane nayo.Mkuu tunafanya uhakiki kwanza..
Yes haihitaji haraka. Ila lazima yafanyike. Tusikae tumetulia kama maboga yanavyokua ardhi. Lazima tuweke nia ya kuona tunafanya mambo sahihi na kwa wakatiWatanzania ni watu tunaopenda haraka bila umakini mwishowe tunapigwa na kuishia kulalamika. Ni vema tumepata serikali iliyo makini na yenye kupeleka mambo haraka kuliko kama tungekuwa tumeyafanya haya mapema zaidi. Namshukuru sana Mungu wetu kwa kutupa rais asiyependa haraka haraka isiyokuwa na baraka. Hatimaye tutafanikiwa 2028 tutakuwa na Gas asilia itakayouzwa nje ya nchi bila shida na kuongeza pato la taifa.
Mazao ya kilimo yanaweza kumbadili mtu mmoja mmoja kwa haraka zaidi kuliko aina hizi kubwa za uwekezaji.Kwanini Zoezi hili halikufanyika kwanza kabla ya hii miradi ya Stiglas na Ndege? Kwa sababu hii ni biashara kubwa sana na masoko yake East Africa yametapakaa. Na ingeingiza pesa za kigeni kuliko Korosho, tumbaku, kahawa na pamba kwa pamoja.sijui tunakwama wapi kwa kweli!
good!Does it mean all the negotiations have been done and concluded? Where is the lapse in the negotiations? Why every company negotiates separately and not as a consortium?
Tunahitaji maendeleo. Nafikiri tuwe serious baadhi ya haya mambo yafanyiwe kazi na kukamilika kwa wakati. Mozambique iko kwenye advanced stages za kuanza kuchakata gas yao
Tunakwama wapi sisi?
Unaulizia gesi ya Mtwara tena kwani hii topic inahusu nini mzee au hujasoma?Tatizo mnaanzishaga hivi, mnatupigia makelele kwa muda mrefu halafu hatimaye mnabamiza, sasa tutegemee makelele kwa miaka kama mitano ijayo.
Hivi gesi ya Mtwara imefikia wapi maana hiyo nayo mlipiga makelele sana humu mkituambia ndio itasababisha Tanzania kuipita Kenya kiuchumi, hivi imewanufaisha wana Mtwara kwanza? Kabla haijawakwamua Watanzania wengine wote, au bado inaliwa na mabeberu.
Anyway utani pembeni kama mtafaulu hongera zenu....
Soma hapa wameandika kiasi fulani kwa ufupiKampuni gani infanya exprolation