Tanzania Kuanza ujenzi wa LNG ($30B) 2022 na Ujenzi wa Kiwanda kikubwa cha Mbolea ($1.9b) 2021


Duh mradi una umri wa mtt kwenda shule kabs duh
 
hospitalised...hahahaaaa....geza...dar kimeuwa haswa...
 
Duh mradi una umri wa mtt kwenda shule kabs duh
Ule wa kuweka gas kwenye magari ya Dar Es Salaam umri wake ni mtoto aliyemaliza chuo kikuu.
Sisi tunaongea sana. Utekelezaji sifuri. Hivi hatuoni aibu? How do we measure how we perform?
Maneno maneno yamezidi na yanakera. Actions
 
Ule wa kuweka gas kwenye magari ya Dar Es Salaam umri wake ni mtoto aliyemaliza chuo kikuu.
Sisi tunaongea sana. Utekelezaji sifuri. Hivi hatuoni aibu? How do we measure how we perform?
Maneno maneno yamezidi na yanakera. Actions

Ahahahahahahahahahahaha watawala watoa maamuzi wanakula wanalala wana trading chochote bila shida wananafuu kwa bidhaa zote kwa mgongo wa serikali so kuamua jambo na kubadili hata wakichukua miaka 20 wao sio mbaya labda aje upande wa mwananchi wa kawaida ndo wanakuaga na uelewa
 
hii LNG processing plant ya dola bilion 30,ilikuwepo toka mwanzoni sema walikuwa hawafinalise maongezi na hapa bado tunaambia wataongea kwa miezi 7,chochote chaweza fanyika,usishangae baadae ukasikia mradi umesimama mkataba sio mzuri
 
Wakija upande wa wananchi baada ya kutoka kwenye viti walivyokalia, wengi ndio wanaanza kulialia eti ni wazalendo na wanaona mambo hayaendi vizuri. Wengi wa wanaojiita wazalendo baada ya kutoka kwenye nafasi walizonazo ni waongo wakubwa.
Lets be bold with decisive actions. Tusogee mbele sasa. Tuache hizi hadithi zisizoisha. Tuthamini muda. Tuthamini dhamana tulizopewa. Tuiendeleze nchi yetu. Hizi sanaa na delays zinatuathiri wote bila kuchagua.
 

Waafrica hasiri yetu unafki tu wanakaa na wazungu kujadili kumuibia mwaafrica mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…