joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeingia makubaliano na chuo kikuu cha Addis Ababa ili kuanzisha kozi za somo la kiswahili katika ngazi za cheti, Diploma, na Degirii kuanzia mwaka huu 2019.
Hii ni muendelezo wa azma ya Tanzania kujifanya Kiswahili kiweze kuenea Africa nzima na kupunguza nguvu za lugha za kigeni ambazo kwa ujumla bado zinaendeleza fikra maadili ya wakoloni wetu.