Tanzania kuanzisha Somo la Kiswahili Ethiopia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeingia makubaliano na chuo kikuu cha Addis Ababa ili kuanzisha kozi za somo la kiswahili katika ngazi za cheti, Diploma, na Degirii kuanzia mwaka huu 2019.

Hii ni muendelezo wa azma ya Tanzania kujifanya Kiswahili kiweze kuenea Africa nzima na kupunguza nguvu za lugha za kigeni ambazo kwa ujumla bado zinaendeleza fikra maadili ya wakoloni wetu.
 
Good morning Joto, how are you feeling.
FB_IMG_15617500521560982.jpeg
 
I'm good, I can see since mchapwe na Harambee stars leo ndio umejitokeza tena. Next time learn to tame your mouth.
Usinichafulie huu Uzi wangu, kama unataka maoni yangu juu ya Taifa stars, niambie tukutane wapi. Ila Mimi ninaifananisha Taifa stars kama Uchumi wa Kenya, huwa Taifa stars inajikweza kuliko uwezo wake, nilijua itapoteza michezo yake yote.
 
Kama hutaki nikuchafulie Uzi then block me if in any case you can.

Which sport is Tanzania good at if I may ask?
 
Kama hutaki nikuchafulie Uzi then block me if in any case you can.
Kuna wakati ninashindwa kuelewa uwezo wenu wa kufikiria, umesoma kwa makini hilo jibu langu?. Huu Uzi unahusu Tanzania kufundisha Kiswahili Ethiopia, vipi unataka tujadili Taifa Stars, hata hivyo nimekupa msimamo wangu kuhusu Taifa Stars, ila nimekuambia tusichafue lengo la huu Uzi, sasa hiyo ya kukublock inakujaje?, ndio sababu sio rahisi kuelewana na wakenya.
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeingia makubaliano na chuo kikuu cha Addis Ababa ili kuanzisha kozi za somo la kiswahili katika ngazi za cheti, Diploma, na Degirii kuanzia mwaka huu 2019.

Hii ni muendelezo wa azma ya Tanzania kujifanya Kiswahili kiweze kuenea Africa nzima na kupunguza nguvu za lugha za kigeni ambazo kwa ujumla bado zinaendeleza fikra maadili ya wakoloni wetu.
Heading yako nadhani au kwa mawazo yangu inatakiwa iwe ETHIOPIA KUANZISHA SOMO LA KISWAHILI
Huwezi kusema Tanzania inaanzisha somo la kiswahili Ethiopia wakati Ethiopia ni nchi na ina maamuzi yake. Tanzania haiwezi kuamua tu bila Ethiopia kukubali.
 
Kuna wakati ninashindwa kuelewa uwezo wenu wa kufikiria, umesoma kwa makini hilo jibu langu?. Huu Uzi unahusu Tanzania kufundisha Kiswahili Ethiopia, vipi unataka tujadili Taifa Stars, hata hivyo nimekupa msimamo wangu kuhusu Taifa Stars, ila nimekuambia tusichafue lengo la huu Uzi, sasa hiyo ya kukublock inakujaje?, ndio sababu sio rahisi kuelewana na wakenya.
Sawa boss, usilie.
 
Outta Umojamaica
Prrrrr Kang Kang Banana,
ninayo bas Tunabakana,
hapo nyuma na sidika Mnafanana,
maana kila day bana Unaitangaza,
katangaze basi baby Si hupandana,
panda panda Si hupandana,
katangaze basi baby Si hupandana,
panda panda Si hupandana eeh Madibala nazimanya,
 
Vipi handasi imekolea nini
 
Back
Top Bottom