You can't believe in what you don't practice. 92% of Tanzanians are sorcerers and witches.Kama Nigeria ni 34% these stats are as fake as the person who posted it. By the way how do you say believing in sorcery means that your a witchcraft, I believe witchcraft exist but I don't practice it. IS SUCH A BIG DEAL????.
Ur data source?You can't believe in what you don't practice. 92% of Tanzanians are sorcerers and witches.
There it is.Ur data source?
Ya mwaka gan hii mkuu?[emoji23] Tz yupo juu ya Naija!!! Wap kina Sierra Leone siwaoni....au ungetupa link kabisa tukaona na mwaka usije kuwa unatupa data za 1970's...There it is.View attachment 1143819
Huyo jamaa ameamua kuvuruga huu Uzi baada ya kuona Tanzania inakuwa baba wa Kiswahili hapa Africa, jambo ambalo Kenya linawauma sana kuona jirani wao Ethiopia amewapuuza na kuja Tanzania nchi inayojulikana kuwa ndiyo inayozungumza kiswahili safi hapa duniani.Ya mwaka gan hii mkuu?[emoji23] Tz yupo juu ya Naija!!! Wap kina Sierra Leone siwaoni....au ungetupa link kabisa tukaona na mwaka usije kuwa unatupa data za 1970's...
Sawa lakini kiswahili chenu ni kibovu kushinda chetu.Kuna wakati ninashindwa kuelewa uwezo wenu wa kufikiria, umesoma kwa makini hilo jibu langu?. Huu Uzi unahusu Tanzania kufundisha Kiswahili Ethiopia, vipi unataka tujadili Taifa Stars, hata hivyo nimekupa msimamo wangu kuhusu Taifa Stars, ila nimekuambia tusichafue lengo la huu Uzi, sasa hiyo ya kukublock inakujaje?, ndio sababu sio rahisi kuelewana na wakenya.
Huyo jamaa ameamua kuvuruga huu Uzi baada ya kuona Tanzania inakuwa baba wa Kiswahili hapa Africa, jambo ambalo Kenya linawauma sana kuona jirani wao Ethiopia amewapuuza na kuja Tanzania nchi inayojulikana kuwa ndiyo inayozungumza kiswahili safi hapa duniani.
Iyo yenu nzuri iko wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa lakini kiswahili chenu ni kibovu kushinda chetu.
Ya mwaka gan hii mkuu?[emoji23] Tz yupo juu ya Naija!!! Wap kina Sierra Leone siwaoni....au ungetupa link kabisa tukaona na mwaka usije kuwa unatupa data za 1970's...
Hahahaha, dunia inajua wapi Kenya kiswahili safi, ndio sababu jirani yenu Ethiopia amewakimbia na kuja huku.Sawa lakini kiswahili chenu ni kibovu kushinda chetu.
Nimemuona anaingizia mara harambee stars mara uchawi[emoji23]... lengo kupoteza dhumuni la thread...yupo yy na mwenzake hivi mabingwa sana wa kuruka vihunzi...Huyo jamaa ameamua kuvuruga huu Uzi baada ya kuona Tanzania inakuwa baba wa Kiswahili hapa Africa, jambo ambalo Kenya linawauma sana kuona jirani wao Ethiopia amewapuuza na kuja Tanzania nchi inayojulikana kuwa ndiyo inayozungumza kiswahili safi hapa duniani.
Mkuu ungeanzisha Uzi ukaweka link na source tukaja kuchangia...2018 ndio hiyo ingine, Tanzania is a known sorcery nation.View attachment 1144042
Eti kuna mchina ameandika kitabu cha kiswahili?Hahahaha, dunia inajua wapi Kenya kiswahili safi, ndio sababu jirani yenu Ethiopia amewakimbia na kuja huku.
Uchawi upo kila mahala ila wa huko kwenu ni wa kushangaza. Hujawahi sikika pengine duniani kote.Nimemuona anaingizia mara harambee stars mara uchawi[emoji23]... lengo kupoteza dhumuni la thread...yupo yy na mwenzake hivi mabingwa sana wa kuruka vihunzi...
Anzisha thread,weka source za kuaminika tuje kuchangia...ama vipi..Uchawi upo kila mahala ila wa huko kwenu ni wa kushangaza. Hujawahi sikika pengine duniani kote.
Threads zipo nyingi tu. Mkichinja watoto na kuwala. ZitafuteAnzisha thread,weka source za kuaminika tuje kuchangia...ama vipi..
Eti kuna mchina ameandika kitabu cha kiswahili?
Nimemuona anaingizia mara harambee stars mara uchawi[emoji23]... lengo kupoteza dhumuni la thread...yupo yy na mwenzake hivi mabingwa sana wa kuruka vihunzi...
Your stupidity is unheard of. With that your watery brain unadhani wachina wangeandika hiyo book wangeeka map ya Tz? You are the reason why Tz is the most illiterate nation in East Africa.
Sibishani na watu wenye tribalism, xenophobia nkYour stupidity is unheard of. With that your watery brain unadhani wachina wangeandika hiyo book wangeeka map ya Tz? You are the reason why Tz is the most illiterate nation in East Africa.