babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
CHUO KIKUU CHINA CHACHAPISHA KITABU CHA KISWAHILI
Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China kwa kushirikiana na China Radio International kimechapisha kitabu cha kufundishia lugha ya kiswahili kwa wazungumzaji wa lugha ya kichina kiitwacho "Jifunze Lugha ya Kiswahili". Kitabu hicho kimeandikwa na Prof Chen Lianying
Kumbe siku hizi kuna waTz wenye majina ya kichina [emoji23][emoji23][emoji23]au ulitaka aweke bendera na ramani ya tribalism

Your stupidity is unheard of. With that your watery brain unadhani wachina wangeandika hiyo book wangeeka map ya Tz? You are the reason why Tz is the most illiterate nation in East Africa.