johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tanzania itakabidhi uenyekiti wa SADC kwa nchi ya Msumbiji 17/08/2020
Kabla ya hapo vitaanza vikao vya makabidhiano kwa makatibu wakuu na basdaye baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti wake Prof Palamagamba Kabudi jijini Dodoma.
Source Channel ten.