johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ongeza sauti kidogohiki kiti kwa upande wa mwenyekiti ni kama kilienda bure zamu hii
Punguza sautiKiingereza ndio ilikuwa tatizo kwa CCM
nimesema katika historia ya jumuiya nchi za kusini mwa afrika zamu za unyekiti ilipotea bure.Ongeza sauti kidogo
Sawa mkuu,sauti imesikika Sasa. Hata viziwi wamekusikia.nimesema katika historia ya jumuiya nchi za kusini mwa afrika zamu za unyekiti ilipotea bure.
Afadhali, maana Mwenyekiti wa Sasa ametutia aibu mno huko SadcTanzania itakabidhi uenyekiti wa SADC kwa nchi ya Msumbiji 17/08/2020
Kabla ya hapo vitaanza vikao vya makabidhiano kwa makatibu wakuu na basdaye baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti wake Prof Palamagamba Kabudi jijini Dodoma.
Source Channel ten.