ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.Hivi ni vichekesho vya mataahira wa CCM.
Kwa mwaka mzima, nchi nzima tupo gizani tukigawana umeme wa kuunga unga, hiyo mipango ya kuuza umeme nje tunaanzaje kuiwaza?
Uko sahihi mkuuhili bwawa vinu vyote vikifua umeme nchi itapiga hatua si mchezo
na hapo ndio aibu ya kina lisu
Ndio nini Sasa?Wagagagigikoko 🐼
Umeme wa kumpa MO Dewji umewashinda ndio mtaweza kuwapa akina Gachagua? 😂😂Ndio nini Sasa?
Uwezo wa umeme walionao ni zaidi ya 3,600 sijui kama hilo unalijua.Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.
Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.
Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Wakina nani?Uwezo wa umeme walionao ni zaidi ya 3,600 sijui kama hilo unalijua.
Samahani, hivi matumizi ya umeme kwa Tz hayataongezeka? Kumbuka hatujafika hata nusu ya kusambaza umeme nchi nzima.Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.
Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.
Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Hiyo 2000MW ni matumizi ya sasa, Je, with fully countrywide electrification itaongezeka kufikia ngapi? Kwa move ya TIC kuongeza wawekezaji wa viwandani n.k bado tutakua tu na Ziada ya umeme? 15 years to come, bado tutakua tunazungumzia umeme wa ziada Au ndio plan ya kutengeneza tena uhaba wa umeme, ili tupate tena vi IPTL.?Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.
Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.
Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Nchi nzima Kwa Sasa Iko electrified.Hiyo 2000MW ni matumizi ya sasa, Je, with fully countrywide electrification itaongezeka kufikia ngapi? Kwa move ya TIC kuongeza wawekezaji wa viwandani n.k bado tutakua tu na Ziada ya umeme? 15 years to come, bado tutakua tunazungumzia umeme wa ziada Au ndio plan ya kutengeneza tena uhaba wa umeme, ili tupate tena vi IPTL.?
Aliyekwambia hatujafika nusu ya Kusambazia umeme ni nani?Samahani, hivi matumizi ya umeme kwa Tz hayataongezeka? Kumbuka hatujafika hata nusu ya kusambaza umeme nchi nzima.
Ni kuwauzia umeme au kupeleka nguzo za umeme kuelekea Kenya?Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao umefadhiliwa na African Development Bank.
View: https://www.instagram.com/p/C27F55go1Cz/?igsh=emo4eGo4cDQ3d3li
My Take
Kenya wangekuwa wameunganisha grid Yao na Ethiopia,shida za upungufu wa umeme tunazopta saizi zisingekuwepo.
Unajua hizo megawatt 2000 hapo Rufiji tutazipata kwa awamu ngapi?Aliyekwambia hatujafika nusu ya Kusambazia umeme ni nani?
Mahitaji yanazidi kuongezeka lakini sio Kwa Kasi ya kuweza kuzitumia hizo megawatt zote ndani ya miaka 4 ijayo.
Tuko uhuru Hadi Leo tuko kwenye megawatt 2,000 , unadhani hiyo ziada ya 1600 tunaweza ifikia Kwa miaka 4 ijayo?