Tanzania Kuiuzia Umeme Kenya Bwawa la Nyerere Likikamilika. AfDB Yataka Mikataba ya Mauziano isainiwe haraka

Rudi Upya kusoma maelezo ya Tanesco hapo Juu.

Unadhani huo umeme umejengwa Ili wewe uhawiwe au ununue au ulete pesa?

Nchi zingine zingekuwa na Viongozi wajinga kama wewe nadhani Mikoa yote ya mipakani isingekuwa inapata umeme kutoka Nchi jirani.

Mwisho laiti kama connectivity ya grid ingeanza mapema sana Kwa kutumia njia za laini kubwa yaani kv 400 plus baina ya Nchi za Afrika , Changamoto za umeme zinazoendelea A.Kusini,Tzn,Kenya nk zisingekuwepo maana tungenunua tuu umeme iddle ya Ethiopia maisha yanaendelea.

Ndio maana naunga mkono ujenzi wa.njia za kuunganisha umeme unaoendelea baina ya Mataifa mbalimbali.

View: https://www.instagram.com/p/C2-EpSMMQwC/?igsh=YjVpZXV0c251Z2Jy
 
Kumbe Tanzania ndio mteja Kupitia miundombinu ya Kenya πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DG_cVvRMqG7/?igsh=MWpleWpxczV0aXEwZw==
Harafu Kwa nini AfDB inalazimisha?
 
Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.

Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.

Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.

Kama Bwawa la Nyerere litazalisha Umeme wa ziada huo tunaotaka kununua ni wanini?
 
Nchi imewashinda nyinyi achieni kizazi kipya nyie kaleeni wajukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…