๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ

Kwa umeme huuhuu robo kibaba?Hebu waambie hao lunatics nimewafokea na wajitulize kama kasuku!
 
Tangu nipande treni la Umeme kisha kusimama ghafla porini kisa Umeme kukatika, ndiyo nikajua hii Nchi hatuko serious kwenye uendeshaji wa miradi yetu.

Huu Mradi nao unaweza kutushinda, japo hauna ugumu sana kwenye uendeshaji

Ndiyo maana Mzee Mwinyi aliwahi kutuita Kichwa cha Mwendawazimu ๐Ÿ™Œ
 
Mwendokasi mmeshindwa, Treni mara izime mara ifufuke. Maituletee majanga ya halaiki jamani na hizo cab car.
 
Hili nchi wakati mwingine linakuwa kama la kipumbavu! Tunaweza mambo makubwa huku madogo tu yametushinda!! Usafiri wa Mwendokasi tu ni kizungumkuti, SGR hiyo hapo bado tunasuasua ije iwe magari ya nyaya? Tuache upumbavu!
 
Huwa mnakera mnaposema Wa kisasa
Muwe mnasoma pia usafiri huu ulianza lini duniani
Mwaka 1644 sio wa kisasa ni miaka 381 iliyopita
 
Yanatumika siku nyingi tuu kufanya.utalii kule Kilimanjaro mountain
 
Kumbukeni bado watoto wetu wanakaa chini mashuleni, walimu hawatoshi na uhaba wa wafanyakazi sekta nyingi, matundu ya vyoo tu bado.
Do the basics before you can advance further.
Vichaa
 
Kumbukeni bado watoto wetu wanakaa chini mashuleni, walimu hawatoshi na uhaba wa wafanyakazi sekta nyingi, matundu ya vyoo tu bado.
Do the basics before you can advance further.
Sasa mkuu, kwa pale Buguruni au Vingunguti, vp kama gari ya waya itapita juu ya choo cha passport size. I can't imagine
 
Kwa vichekesho kama hivi bonyeza #ssh mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ