Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

Chombo kimedinda lazima kipewe mkate iliopakwa blueband ndio iamke 🤣 😂 🤣 😂
 
Hivi huu mradi tuliambiwa treni ya kwanza itabeba abiria Novemba 2019, mbona kimya au huduma imeanza tayari.
 
-3 electric multiple units (EMU),
-10 electric locomotives,
-60 passenger coaches,
-100 freight wagons and maintenance equipment. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hivi huu mradi tuliambiwa treni ya kwanza itabeba abiria Novemba 2019, mbona kimya au huduma imeanza tayari.

Force majeure.

Mvua kubwa sana zilizonyeesha 2017/18 na 2018/19 zimeathiri sana ratiba ya ujenzi wa SGR yetu. Tunaomba zisirudie 2019/20 ili tukamilishe salama.

Sitaki kuamini kuwa Kenya hazijafika mvua hizo nawe hauelewi hilo!
 
On paper; we told you it would start operating on paper by that time.
 
Force majeure.

Mvua kubwa sana zilizonyeesha 2017/18 na 2018/19 sasa zimeathiri sana ratiba. Tunaomba zisirudie 2019/20 ili tukamilishe salama.

Sitaki kuamini kuwa Kenya hazijafika mvua hizo nawe hauelewi hilo!

Haya msemaji tumekuelewa..
 
Hivi huu mradi tuliambiwa treni ya kwanza itabeba abiria Novemba 2019, mbona kimya au huduma imeanza tayari.
Wakati mnashangaa mashariki sisi tunapita kusini sasa tuna zindua dar tanga wewe baki kushangaa sgr
 
Force majeure.

Mvua kubwa sana zilizonyeesha 2017/18 na 2018/19 zimeathiri sana ratiba ya ujenzi wa SGR yetu. Tunaomba zisirudie 2019/20 ili tukamilishe salama.

Sitaki kuamini kuwa Kenya hazijafika mvua hizo nawe hauelewi hilo!

Shikamoo bibi FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…