Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

Mbona unaongea kama mtu aliyeishi Kibera na kisha kuzurura hapo Uhuru park?
Nilikuja Kenya kufanya utafiti wa maisha ya kibera nikagundua mambo mengi .nikajua kwanini wakenya wakiamka sura zimekunjana na wanahasira sana kumbe yote ni maisha ya slum
 
Nimecheka hadi kufa uzi huu ulikuwa kila saa page mbili, baada ya hii picha ya kutest jinsi kinavyolala naona watanzania wenzangu wote wameingia mitini, jamani hii ni test pia , hawa wakenya mbona mmewaachia ukumbi hawana kitu we ar on lait traki
Nawewe ni kajinga sana, bora walioondoka wakakuacha mwenyewe.

Hicho kichwa mabehewa yake yako wapi, au ni kama bus!??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtungi wa Gogo
 
Nyie jamaa bwana hicho ni cha Yapi Merkez kwa ajili ya kuvuta vitu vyao wakati ujenzi unaendelea.Sio kwa ajili ya kubeba mizigo au abiria watani bwana mnamaneno.
 
Busaa container kashanguka tayari.
1092398
 
Kenyan company pia kishawapiga chenga kwenye deal ya koro-Show. Taaaaabu tupu.
IMG_20190509_094458.jpeg
 
bullet train just got a whole new meaning in danganyika
 
Nyie jamaa bwana hicho ni cha Yapi Merkez kwa ajili ya kuvuta vitu vyao wakati ujenzi unaendelea.Sio kwa ajili ya kubeba mizigo au abiria watani bwana mnamaneno.
Huwa kinavuta vitu vyao vya ujenzi kikiwa kimelala hivyo?
 
mimi nilishasema kitambo tu; mturuki haendi binguni!
*** sasa ichoboy01 ataambia watu nini?
Tumia akili ya kuzaliwa usilazmishe jambo au usijitoe ufahamu ushaambiwa hio ni mali ya mkandarasi kwa ajili ya kazi zake๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
C9CAE888-0A7A-46CA-9FAF-D9A03C1D98BF.jpeg
 
Back
Top Bottom