joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Moja wapo ya sifa za wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria, ndio sababu karibu miradi yote ama inafanyika hovyo hovyo, ama inaishia njiani baada ya kupoteza pesa nyingi za wananchi, mfano ni "Green field terminal iliyopoteza Kshs 4B, na Galana kulalu uliopoteza 10B.Mojawapo wa sifa kubwa kwa Watanzania ni misifa hata kwa kitu hawana uwezo nacho, muda wote nilijua wataibuka na kituko kama hiki hivyo kwangu mimi sioni ajabu.
Kitendo cha wakenya kufikiria kwamba hicho ni kichwa cha train kilichonunuliwa wa Serikali ya Tanzania ni ishara tosha ya uwezo mdogo wa wakenya na baadhi ya watanzania. Kamwe Kenya hamuwezi kujilinganisha na Tanzania katika kupanga na kutekeleza miradi yenye ubora. Hatuwezi kununua upuuzi kama huo, miezi 6 imebaki mtaona trains tutakazo nunua, " We are far ahead of you guys in Quality and modern technology.