Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

Icho sio kichwa kwaajili ya kubeba abiria wala mizigo icho ni cha kui fix ile reli ..maqna baada ya ku install lzm iwe fix na kuzamishwa na kuchanganya mawe (kokoto) zile ndogo ndogo .... Embu tulia ndugu usikirupuke sindano bado haijakuingia
 
Niliskia wamesha purchase bullet trains. Kali kuliko zile za Japan. Hicho kichwa ni cha mturuki anafanya testing.
Mtungi wa gongo uliotengenezwa mwaka wa 1892 umewasili leo Dara salama.
Nilijua mtacheka hahaha
poleni sana
Someni hapa
IMG_20190507_223540_583.jpeg
 
Wakenya wataikimbia jamii forums! Tunajenga stesheni za ghorofa, tunanunua bullet trains the 1&only in Africa.
Kumbe ni vyoo vya umma na mtambo wa kubeba chipsi mayai kutoka dar kupelekea akina Richard irakunda kule kigoma.
PRIDE COMES BEFORE A FALL
Cc: ichoboy01
Tumia Akili walau kidogo
Tanzania haita kuja kutumia Mitungi kama ya Kenya Never Ever
IMG_20190507_223540_583.jpeg
 
Leo ndo Nimegundua kenyans wa jf wako na akili fupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utazidi kugundua…..kesho naona ukipewa kazi na JPM wa kutafutia kuni zitakazotumika kwa huo mkebe wa buleti treni
 
Ukiangalia comments Za vijana Wa madaraka express ndio unapata picha kumbe ule mtambo wao Wa gongo Ni kweli unawaumiza sana vichwa....

Nawaambia hv treni walizoagiza TRC hamjawahi kuota siku zikifika ndio mtaelewa nawaona mnaweweseka na vitu by mkandarasi as if hamjui kusoma
 
Mimi nimeona wana TRC wanatafuta clicks. Hio picha imewaweka kwa mtandao sana!
 
The turkish have raped Tanzania my friend. This is a police case.
Yaan ngojeni mtaaibika vibaya nyinyi wa 254 mjueee siku si nyingi maana tutawaaibisha sana siku iyo mzigo wetu halisi utakapo tua
 
Wakenya wataikimbia jamii forums! Tunajenga stesheni za ghorofa, tunanunua bullet trains the 1&only in Africa.
Kumbe ni vyoo vya umma na mtambo wa kubeba chipsi mayai kutoka dar kupelekea akina Richard irakunda kule kigoma.
PRIDE COMES BEFORE A FALL
Cc: ichoboy01
Hata kama hicho kinafaa maana kwanza ni kizuri kuliko chenu pia tz imetumia gharama ndogo zaidi yenu [emoji23][emoji23]

Kubwa zaidi inajengwa kwa pesa za watanzania
Wap SGR ya Kenya imeishia nikumbushe miss?
 
hizi screen images nimezimeitoa kwenye ukurasa rasmi wa shirika la reli tanzania kule instagram.

wakenya someni mistari niliyoiwekewa mstari mweusi, bila shaka mkishaisoma na kuilewa mtabaini ni kiasi gani nyinyi ni wapumbavu na wajinga.


Screenshot_2019-05-08-00-23-32-873_com.instagram.android.jpeg
IMG_20190508_001748.jpeg
 
View attachment 1091132 This is what the Chinese use for testing in the Kenyan SGRView attachment 1091137 This is the cargo locomotive that was delivered. The apple 🍎 does not fall far from the tree 🌳!!!!! Ni rangi tu watabadilisha 😂😂😂😂
But wewe.
Tanzania leader and Kenyan leaders all are the same.
Wezi waizi majizi.

Wananchi wamepigwa.
Tuunganeni tulie kwa pamoja
 
Back
Top Bottom