Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

Mkuu katika kuchangia mada hii wajumbe tujikite kwenye saruji au hiki kimiminika chetu pendwa? Maana lengo ni tujue tunaelekea wapi?.
 
Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba.
Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
Wewe umefanya nini zaidi ya kuja kusifu Kenya walifanya!
Hamia Kenya basi
 
Kinondoni bia haijawahi kuuzwa shs.2,000/= huko 2,500/= kwenda juu wakati Mbagala haijawhi kuuzwa shs.2,500/= ni 2,000/= tu.
 
Tena bei waongeze zaidi!!!
mana nyumbu wakishalewa kifuatacho nikuwatukana Watawala wao wenye kufanya Bia hisiwe bei juu 😀

Dawa bei ipande zaidi faida nyingi zaidi!!

Wakipunguza kulewa faida nyingi watapata ikiwemo kulinda Uchumi wao

kupunguza migogoro kwenye ndoa zao

kubwa zaidi kulinda
Migongo yao !!!!
 
mkuu, Dunia nzima hakuna sehemu utasikia walevi wanalalamikia bei ya kinywaji.

kama huna hela tulia kwanza au kakope upate kuenjoy
 
Kinachosumbuwa ni kipato duni cha Watanzania na siyo bei ya bia.

Kwa mfano Uswis rate zao za mishahara ni nzuri lakini kula nyama ya ng'ombe ni anasa bei ni kubwa sana per gram, kama ni mlaji wa kitimoto na kuku utaenjoy bei kitonga lakini si nyama ya ng'ombe bei ya yake kwa kg ni zaidi ya mara 5 ya bei ya Tanzania.

Hata bia ukifanya calculation utagunduwa kinachowasumbuwa wabongo ni umaskini vipato duni, yani mtu anayekunywa Heineken anaonekana mambo safi wakati hizo ni bia za kawaida tu mbele
 
Aiseee ndo maana geto Jana nimerudi na Hela pungufu nikajua labda baamedi wamenipiga chenchi zangu kumbe bia zimepanda bei🥹🥹
 
Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba.
Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
unakunywa utamu wa Serengeti lemon Kwa 2000 hapana iongezwe kabisa
 
Nina muda sijagusa bia..siku hizi mimi ni nyagi tu
 
Back
Top Bottom