passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Unajua Kenya wamejiloga kwa sababu wakitaka kuja kuzungumza na sisi tutawaambia ATCL pia tupatiwe routi ya Kenya yaani wamerahisisha mchakato wa kuomba ATCL kwenda routi ya kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kulia Basi.Nani aliyelia?, subiri Jumatatu utasikia kama balozi wenu hapa Tanzania hatopiga magoti kuomba suluhu.
Kitu kimoja lazima mfahamu kwamba, tutaheshimu maamuzi yenu, lakini na ninyi ni lazima muheshimu maamuzi yetu.
Pia lazima mjue kwamba, mkichukua uamuzi wowote wenye kuihusu Tanzania bila kutushirikisha na huo uamuzi ukawa na madhara kwa Tanzania, jueni kwamba tutalipiza, kamwe hatutokaa kimya.
Ni muhimu kama majirani tukaishi kwa kuheshimiana na kushirikishana.
Tumezuia Tanzanite kwa kiasi kikubwa, tunakimbizana kuhusu utalii, tunaanza kusafirisha mazao yetu na bado watazidi kuisoma nambaHabari njema ni kwamba hivi visa unavyoona ni comeback baada ya kugundua tunakwenda kuwatoa kwenye ramani za kibiashara chini ya miaka 10 ijayo.
Ukitaka kuamino subiri uone jibu linalokuja,ndio utajua draft tunawaacha wasogeze wao kete kwanza ili tuwazibue sawa sawa.unajua ni jinsi gani kumnyonga nyani yataka roho ngumu,vinginevyo unamfunga katka gari lililokosa breki kisha unamuachia nalo mlimani kama hivi tunavyotaka kuwafanya.
Unajua Kenya wamejiloga kwa sababu wakitaka kuja kuzungumza na sisi tutawaambia ATCL pia tupatiwe routi ya Kenya yaani wamerahisisha mchakato wa kuomba ATCL kwenda routi ya kenya
Sasa mkija kwenye mazungumzo na sisi si tutakuwa na mambo yetu ambayo tutataka myakubali.mojawapo itakuwa hilo mkitaka Kenya airways ije kwetu na sisi tuje kwenu.ur so intelligent au upo kitengo hapo ?
Yan Sio route ya Nairobi tuu hata international flight zilizokuwa lazima ziungie Nairobi Sasa zitalazimika Kama hakuna ulaxima kuanzia Safari dar to Dubai au dar to Amsterdam Nairobi itaanza kuwa stori tuwashukuru Kenya kwa kujichanganya au tuseme hivi KENYA MWANA KULIFIND MWANA KULIGETUnajua Kenya wamejiloga kwa sababu wakitaka kuja kuzungumza na sisi tutawaambia ATCL pia tupatiwe routi ya Kenya yaani wamerahisisha mchakato wa kuomba ATCL kwenda routi ya kenya
Pili route za Dar-Mombasa, Zanzibar-Mombasa, Zanzibar-Nairobi, Mwanza-Nairobi na Mwanza-Mombasa!Sasa mkija kwenye mazungumzo na sisi si tutakuwa na mambo yetu ambayo tutataka myakubali.mojawapo itakuwa hilo mkitaka Kenya airways ije kwetu na sisi tuje kwenu.
Kumbe majengo ya Nairobi ni mazuri! Sasa unabisha nini kwamba wako vzrMh huo uzuri unao usema ni kqma upi ndugu ukitoa majengo ya mji wa nairobi
Wewe umewekeza nini Kenya?Wako vzr kwenye nn ndo useme ss usilete habari za paukwa pakawa humu.
Kauli mbiu sio kumwaga ugali, ugali haumwagiki, tukiumwaga watauchonga utakate waule.Tanzania vs Kenya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji39]View attachment 1523934
Ukiangalia umaskini wa kenya na Tz ni tofauti kabisa kenya maskini ni maskini kweli...maskini wa Tz yaan aghalabu. Mfano tazama kuke kaskini mqa kenya Turkana mandela county desert yaan people dies.Kumbe majengo ya Nairobi ni mazuri!! Sasa unabisha nini kwamba wako vzr
Umefika Kenya au unabwabwaja tu ili kufurahisha LumumbaUkiangalia umaskini wa kenya na Tz ni tofauti kabisa kenya maskini ni maskini kweli...maskini wa Tz yaan aghalabu. Mfano tazama kuke kaskini mqa kenya Turkana mandela county desert yaan people dies.
Research don't lie buddy No need for for me to be there. Au una bisha pia ya kuwa hali ni mbaya kule Northern Turkana. Ss iyo hali ya northern turkan Tz huwezi kuta a place like that never ever.Umefika Kenya au unabwabwaja tu ili kufurahisha lumumba
Kenya n kuwapeleka mbio mpaka wakae nafasi yao ya pili
Unaijua miko yenye shida au maisha magumu Tanzania. Tuanzie hapo kwanza.Research don't lie buddy No need for for me to be there. Au una bisha pia ya kuwa hali ni mbaya kule Northern Turkana . Ss iyo hali ya northern turkan Tz huwezi kuta a place like that never ever