Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Endelea kulia Basi.
 
Tumezuia Tanzanite kwa kiasi kikubwa, tunakimbizana kuhusu utalii, tunaanza kusafirisha mazao yetu na bado watazidi kuisoma namba
 
ur so intelligent au upo kitengo hapo ?
Unajua Kenya wamejiloga kwa sababu wakitaka kuja kuzungumza na sisi tutawaambia ATCL pia tupatiwe routi ya Kenya yaani wamerahisisha mchakato wa kuomba ATCL kwenda routi ya kenya
 
Unajua Kenya wamejiloga kwa sababu wakitaka kuja kuzungumza na sisi tutawaambia ATCL pia tupatiwe routi ya Kenya yaani wamerahisisha mchakato wa kuomba ATCL kwenda routi ya kenya
Yan Sio route ya Nairobi tuu hata international flight zilizokuwa lazima ziungie Nairobi Sasa zitalazimika Kama hakuna ulaxima kuanzia Safari dar to Dubai au dar to Amsterdam Nairobi itaanza kuwa stori tuwashukuru Kenya kwa kujichanganya au tuseme hivi KENYA MWANA KULIFIND MWANA KULIGET
 
Wakenya wamgejua kuwa wanapambana na KAMATI YA ROHO MBAYA nadhani huo uamuzi wao wasingeuchukua kabisaaa.
 
Kumbe majengo ya Nairobi ni mazuri!! Sasa unabisha nini kwamba wako vzr
Ukiangalia umaskini wa kenya na Tz ni tofauti kabisa kenya maskini ni maskini kweli...maskini wa Tz yaan aghalabu. Mfano tazama kuke kaskini mqa kenya Turkana mandela county desert yaan people dies.
 
Ukiangalia umaskini wa kenya na Tz ni tofauti kabisa kenya maskini ni maskini kweli...maskini wa Tz yaan aghalabu. Mfano tazama kuke kaskini mqa kenya Turkana mandela county desert yaan people dies.
Umefika Kenya au unabwabwaja tu ili kufurahisha Lumumba
 
Umefika Kenya au unabwabwaja tu ili kufurahisha lumumba
Research don't lie buddy No need for for me to be there. Au una bisha pia ya kuwa hali ni mbaya kule Northern Turkana. Ss iyo hali ya northern turkan Tz huwezi kuta a place like that never ever.
 
Serikali ya TZ isilegeze uzi juu ya hii ban ya KQ. acha hii iwe fursa ya ndege za mashirika akubwa kutua TZ moja kwa moja. kwanza hata kama Tz itaruhusu waTz wapitie Kenya kwa jinsi wa KE walivyo watawanyanyasa sana waTZ.
 
Kenya n kuwapeleka mbio mpaka wakae nafasi yao ya pili
 
By nature ukanda huu(#Great lakes)

1 Congo
2. Tz
3. Ug
4. Kenya
Burundi na Rwanda wangefuatia so hawa kenya wanabebwa na ujanja ujanja tu na ni suala la muda
Kenya n kuwapeleka mbio mpaka wakae nafasi yao ya pili
 
Research don't lie buddy No need for for me to be there. Au una bisha pia ya kuwa hali ni mbaya kule Northern Turkana . Ss iyo hali ya northern turkan Tz huwezi kuta a place like that never ever
Unaijua miko yenye shida au maisha magumu Tanzania. Tuanzie hapo kwanza.

Usikute unahangaika na jirani huku hujui km watoto wako wanakula ama la
 
wakenya ndo waliomuua mwafrika mwenzao Gadaf kwa ajili ya wazungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…