Mzalendomorogoro
Member
- Mar 15, 2018
- 59
- 61
Katika siku za karibuni nilipata nafasi ya kushuhudia interview moja ya kipind cha clouds kina itwa The Gear ambacho hufanya na garage na wauza spare parts hapa Tanzania, Jerry spare parts and service.
Ambapo kwenye kipindi hicho alikuwepo host ambaye ni CEO wa Jerry spare parts and service ndugu Jerry akifanya interview na Masoud Kipanya ambapo Masoud Kipanya alieleza safari yake yote kuanzia uchoraji hadi kufikia uwezo wa kubuni Magari yake binafsi . Ukipata nafasi unaweza fuatilia interview yote ambayo imerushwa kwenye YouTube yao
View: https://youtu.be/dvZs7KvoK24?si=bc4hZ6KaAdxoB9T6
Ambapo inatufanya au inatufanya kuamini kuwa baada ya miaka kadhaa Tanzania tunaweza kuwa na watu wengi na kampuni nyingi za Tanzania kama mataifa mengine.