johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
Ni matunda ya demokrasia!Leo mmepigwa bao la kisigino.
Waulize Bavicha bwashee....... Hahahaaaa!..kutembelea makaburi nako kumekuwa ni kigezo na kipimo cha demokrasia?🤣
Sio watanzania, sometimes inaonyesha how big fool you areNenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
Mwagito leo umekwama. Mambo ya makaburini mbona sisi wahehe tumeacha kabisa hata kula nyama za makaburini hatuli. Acha ushirikina mwagitoNenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
Mkuu nimecheka mpaka watu wamegeuka kuniangalia!CCM wanatamani waseme hata kujamba ni matunda ya Demokrasia 🤣🤣
Akili zake zipo kwenye tundu kubwa...kutembelea makaburi nako kumekuwa ni kigezo na kipimo cha demokrasia?🤣
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
Tanzania tuna demokrasia
Because you are featuring so many times on this forum, you need to be educated whenever possible!Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!
Bwashee unaweza kuiweka katika lugha ya taifa!Because you are featuring so many times on this forum, you need to be educated whenever possible!
Democracy has got nothing to do with paying visit to tombs of the dead! It is:
In a lecture titled “What is Democracy”? Larry Diamond (2004) gave an overview of what in his opinion is democracy.
He describes democracy as a system of government with four key elements:
i) A system for choosing and replacing the government through free and fair elections;
ii) Active participation of the people, as citizens, in politics and civic life;
iii) Protection of the human rights of all citizens; and
iv) A rule of law in which the laws and procedures apply equally to all citizens.
I fully subscribe to this definition
Lugha ya Taifa ni Kiingereza, haya ya waarabu siyajui , mimi nachagua Kiingereza. Wewe na KiaarabuBwashee unaweza kuiweka katika lugha ya taifa!
Aibu kubwa sana !Leo mmepigwa bao la kisigino.
Kwahiyo kwako na kwenu hiyo ndio maana ya democrasia, kama huondio uelewa wawanakijani ndio sababu ya shida zote za watanzania na sababu ya mambo yote ya hovyo thnayoyashuhudia huku mkiyashadadia bila kuwa nauelewa was kutosha juu ya athari zake kwa taifa na mliowanyonga na kuwadanganya unyonge ni sifa na mpo Kwa ajili Yao.Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.
Watashangaa sana.
Tanzania tuna demokrasia pana!