Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa.

Watashangaa sana.

Tanzania tuna demokrasia pana!
Ccm imewauma Sana, kuona bavicha wanafanya kumbukumbu kimantiki alafu nyie mnafanya maigizo kwenye kaburi la meendakuzimu
 
Back
Top Bottom