M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Oct 14, 2021 #21 johnthebaptist said: Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana! Click to expand... Ccm imewauma Sana, kuona bavicha wanafanya kumbukumbu kimantiki alafu nyie mnafanya maigizo kwenye kaburi la meendakuzimu
johnthebaptist said: Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana! Click to expand... Ccm imewauma Sana, kuona bavicha wanafanya kumbukumbu kimantiki alafu nyie mnafanya maigizo kwenye kaburi la meendakuzimu