Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
1. Umefuta data zako kwa bahati mbaya?
2. Data zimeliwa na virus?
3. Disk drive yako imeharibika na haisomi kwenye computer?
4. Disk drive yako imeharibika na inasoma kwenye computer?
 
1. Umefuta data zako kwa bahati mbaya?
2. Data zimeliwa na virus?
3. Disk drive yako imeharibika na haisomi kwenye computer?
4. Disk drive yako imeharibika na inasoma kwenye computer?
Disk imeharibika haisomi kwa PC. Nimenunua mpya na ile nikaweka kwenye kasha la external. Kuiweka kwa PC inadetect tu partition lakini haisomi.

Inadetect hizo D, F na G.
1702847222332.png
 
Disk imeharibika haisomi kwa PC. Nimenunua mpya na ile nikaweka kwenye kasha la external. Kuiweka kwa PC inadetect tu partition lakini haisomi.
Ikidetect hiyo partition, PC inaendelea kufanya kazi vizuri? Hapo unaweza jaribu recovery software uone kama inadetect hiyo partition. Ikishindikana,kuna kupoteza au kutuma Nairobi.
 
Back
Top Bottom