Tanzania kuna natural hot springs ngapi?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Naomba kuuliza, je Tanzania tuna visima vya maji ya moto vya asili vingapi?

Mimi najua kuna Majimoto iko Katavi na Majimoto iko Serengeti ila nasikia kuna nyingine iko Manyara na nyingine Moshi, sasa sina hakika kuhusu hizo mbili za Manyara na Kilimanjaro maana hii nchi hizo taairfa haziko documented popote.

Naomba kufahamu idadi ya hot springs nchini Tanzania.

Ahsante.
 
Ninayoijua ni majimoto - ngoreme Serengeti Mara
 
Manyara ipo na YouTube imeongelewa sana
 
Mbeya pia tunayo
 
Nyingine niliiona mkoa wa kagavi sehemu inaitwa maji moto
 
Nyingine Nyingine iko Iringa mkuu. Ukiwa Kalenga ni rahisi sana kufika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…