Hii ya iringa inaitwaje..naomba msaada wa coordinates kama utakuwa karibu huko au kumtumia mtu unayemjua yuko hukoNyingine Nyingine iko Iringa mkuu. Ukiwa Kalenga ni rahisi sana kufika hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya iringa inaitwaje..naomba msaada wa coordinates kama utakuwa karibu huko au kumtumia mtu unayemjua yuko hukoNyingine Nyingine iko Iringa mkuu. Ukiwa Kalenga ni rahisi sana kufika hapo.
Nadhan ni katavi wilayani mlele pale kijiji cha mpimbwe..je sio hii?..Nyingine niliiona mkoa wa kagavi sehemu inaitwa maji moto