M mageta Member Joined Aug 26, 2009 Posts 64 Reaction score 33 Mar 5, 2021 #21 Copy said: Nyingine Nyingine iko Iringa mkuu. Ukiwa Kalenga ni rahisi sana kufika hapo. Click to expand... Hii ya iringa inaitwaje..naomba msaada wa coordinates kama utakuwa karibu huko au kumtumia mtu unayemjua yuko huko
Copy said: Nyingine Nyingine iko Iringa mkuu. Ukiwa Kalenga ni rahisi sana kufika hapo. Click to expand... Hii ya iringa inaitwaje..naomba msaada wa coordinates kama utakuwa karibu huko au kumtumia mtu unayemjua yuko huko
M mageta Member Joined Aug 26, 2009 Posts 64 Reaction score 33 Mar 5, 2021 #22 chotera said: Nyingine niliiona mkoa wa kagavi sehemu inaitwa maji moto Click to expand... Nadhan ni katavi wilayani mlele pale kijiji cha mpimbwe..je sio hii?.. Kama sio naomba unipatie coordinates zake
chotera said: Nyingine niliiona mkoa wa kagavi sehemu inaitwa maji moto Click to expand... Nadhan ni katavi wilayani mlele pale kijiji cha mpimbwe..je sio hii?.. Kama sio naomba unipatie coordinates zake