tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Gpl ilimbeba sana leo anatukana nini au wamemrusha hela nini, hao wapembe wake cjui kadinda cjui petit ya congo wanapelekwa 2, kwani kuandikwa kaanza leo sumtym m2 unajidhalalisha kwa issue ambayo unaweza ongea 2 na wahusika yakaisha.
Huyu mama ubay tabia kama maza wake umaarufu ukishuka ni tabu kuupandisha ndio kama hivyo timbwili mchana kweupe
Huyu mama ubay tabia kama maza wake umaarufu ukishuka ni tabu kuupandisha ndio kama hivyo timbwili mchana kweupe