Tanzania Kuna vituKo, Wema Sepetu azua Timbwili

Tanzania Kuna vituKo, Wema Sepetu azua Timbwili

Mie nipo tofuati sana hapo juu ya mada hii.
Kwanza we mwandishi mwenyewe ni mnafiki tu.
Nikisoma maelezo yako na Tukio lenyewe ni kwamba tumezoea issue zenu za kupanga.
Wema amendikwa sana tu kwenye magazeti na kwenye matukio zaidi ya hilo mliloandika.Sasa iweje leo hii aje kulianzisha ofisini kwenu na watu mtukaniwe mama zenu au baba zenu mmekaa kimya tuu?Angekuja mtu mwingine si mgemsweka ndani?
Eti kisa hana akili ya kawaida,kwani kabla hajawa miss nani alikuwa anamjua?

Kilichopo hapa kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu ni kwamba hizi issue za kuboost jina la mtu na kampuni mwisho wake ni mbaya.Na inaonekana wote mpo kwenye safari hiyo ya mwisho mbaya.Idadi ya wasoma magazeti inapungua kwa kasi sana tofauti na zamani na habari zinajirejea,mitandano ya kupashana habari imekuwa mingi sana na mtu anapata habari kwenye sim tu tena bure.Mpaka mmeamua sasa kutega watu wa uswahili,sijui huyu kafumaniwa,mara yupo uchi,mara kakamatwa uchawini na uzushi tele.Na pia wanaosaidia ni hawa mastaa ndio kila gazeti utakuta wamo.
Sasa hii habari imekuja ili mtu anunue gazeti ajue kipi kitaendelea.Na pia kuonyesha ujasiri wenu.
Sitaki kuamini kwamba mtu afanye fujo aachiwe kisa eti Wema,wakati ningekua kama mie basi saa hizi kesi kubwa.
Tumechoka na hizi issue zenu,kwanza ifahamike,Marehemu Matonya alikuwa maarufu kuliko hata huyu wema.
Sasa hana umaarufu huo na wala sijaona jipya sana kwake zaidi ya kuutengeneza umaarufu kwa kupitia vyombo vya habari,naamini ndio vilivyompa jina kwa kuandika visa vyake ambapo vingi ni vya kuandaa ili ionekane ni real actions.

Maana hata kipindi chake kinapoteza mueleko kabisaa,mara picha za uchi kisha eti anajita mie muislam safii mhh,haya twende kazi.
Juzi nimeona pia kipindi chake eti wameanzisha bifu ya pesa na Petie kisha Martin akajifanya kususa kisha mwisho anamalizia kama Comedy.
Hii ni mbaya sana,jaribuni kuibua vipaji vipya kwenye vyombo vyenu vya Habari,uzushi,upanganji na umbea hausaidii jamii zaidi ya kuijenga na fikra mbaya.Tembeleni pembezoni mwa miji na vijiji ili muibue matatizo na vipaji ili iwe msaada kwa watanzania.
Nashangaa Bosi wenu anajieleza Historia yake ya maisha aliyopitia mpaka sasa lakini amesahau kwamba anatakiwa kuwasaidia watu wa chini ili shida zao zitambulie au vipaji vyao vitambulike na pia Fursa zao zifunguke,yeye na udakuuu udaku nayeye.Mungu atamhukumu kwa hili la kusahau shida za wenzie na wakati yeye ametoka kwenye maisha ya chini,badala yake ana deal na personal issues za kutengeneza na pia ku deal na issue za Mastaa.

Kwa ufupi Film yako hapo juu ni ya kuigiza na haina mashiko wala faida kwetu kama watanzania.
We are very tired of these created issues.
 
m*vi 2.. 'all ova tz hakuna supastaa kama mimi' by wema sepetu
 
Jamani ni macho yangu ama? Naona kama kaloa huko nyuma ukicheck hiyo video.
 
Kweli pesa inatafutwa kwa udi na uvumba, ukiwaangalia hao wafanyakazi wa Global ni kama wanamwambia Wema....jamani mama watoto wetu wanaenda msalani kwa ajili yako/yenu...

Ila Wema si anapaswa aende baraza la habari apeleke malalamiko yake ?

Alafu wale wanaochora yule character wa baba ubaya wamuingize na Wema kama mke wa character (mama ubaya)....wanaendana sana....hivyo vichwa na uwezo wa kipekee wa kulianzisha timbwili.
 
Halafu mbona ---- moja liko juu moja limeshuka au ni hasira nini.inatakiwa afanye wheel balance ili lirudi kawaidaa
 
Halafu mbona mpododo umetofautiana size moja kubwa mija dogo au hasira zke zilishuka chini.inatakiwa afanye wheel balance likae sawa
 
Back
Top Bottom