Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR

Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR

Lolote watakalo amua wataalamu—sio machawa— ilimradi kuulinda huu mradi. SGR ni moja ya project nimezielewa, tusizingue hapa. ✊
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika.

Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha injini hizo.

Huduma ya reli kutoka Dar hadi Morogoro imekuwa ikikumbwa na changamoto ya umeme mara kadhaa na kusababisha abiria kukwama safarini kabla ya kufika wanakokwenda.
Yeah ,ni vizuri ,acts as back up source of power...ya nini kulala porini while kuna alternative?
 
Tunaviongozi matapeli sana awamu hii ya mama.Mwanzo huyu masanja alitudanganya watz kuwa ikitokea umeme umezima treni itaendelea Kwa muda wa kama saa Moja na nusu lakini kumbe ilikuwa uongo mtupu.sasa hivi wanaturudisha Tena treni la diseli ambalo baadae Tena litakufa kabisa kama lilivyokufa kabisa kipindi Cha rais fisadi kikwete alipowapa wahindi Kwa sababu zake za kijinga kuwa eti ni wawekezaji!
Mim sielewi kwa nin media zetu wasifichue hili yaan analisema kabisa na crips zipo kuwa vichwa vya treni vtakuwa na powerpackup ya kuendesha more than 1hr
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika.

Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha injini hizo.

Huduma ya reli kutoka Dar hadi Morogoro imekuwa ikikumbwa na changamoto ya umeme mara kadhaa na kusababisha abiria kukwama safarini kabla ya kufika wanakokwenda.

Oh Lord, my mamaland!
 
Back
Top Bottom