Tanzania kuokoa shs. trillion moja kwa kuanzisha TRA EFD app

Tanzania kuokoa shs. trillion moja kwa kuanzisha TRA EFD app

Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo mashine, it means kuna kama trillion 1 itabidi itumike kuagiza hizo mashine toka nje.
How it works.
1.) Mfanyabiashara ata Login kwenye app yake kutumia TIN no. yake kama user name, na kutumia password/passcode yake ili kuweza kupata access ya hiyo app ambayo imeunganishwa moja kwa moja na TRA. Hii inamaana anaweza kutumia simu yoyote ambayo inahiyo app.

2.) Baada ya ku-Login, anaweza kufanya function zote za EFD machine kwenye hio app, mfano ili kutoa risiti, ataingiza parameters zote za aina ya bidhaa aliyouza, kiwango cha pesa alichopokea, jina la mteja alienunua, namba ya simu ya mteja, TIN ya mteja nk., na baada ya kuingiza namba yake ya siri(kama unavyoingiza kwenye tigopesa) atabonyeza submit, na moja kwa taarifa za hayo manunuzi zitatumwa TRA, na immediately TRA systems zita-generate ana electonic receipt (kama receipt za miamala ya tigopesa) na receipt hiyo itatumwa kama ujumbe kwenye simu ya mteja pamoja na app ya mfanyabisahara kumfahamisha kwamba receipt aliyoomba imetolewa kwa mteja kikamilifu.

3.) Mteja atakaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa risiti ya mzigo alionunua, ataonyesha ile meseji ambayo namba zake za kumbukumbu zitaingizwa kwenye app ya wakaguzi ambao nao watalogin kwenye simu zao zilizounganishwa na system za TRA, na wataweza kugundua kama hiyo meseji ya receipt ni authentic au ni fodgery.

4.) Tuendelee kuiboresha...

DON FRANCIS
Wazo kuntu..big up!
 
Update: 31/02/2022

Hatimaye wamefanyia kazi wazo langu

305F59A9-04CA-4366-B60C-F46019AA71FC.jpeg
57820B52-D450-4FF9-BA66-73199CFA9C7E.jpeg
 
Tunapendekeza hiyo Software igawiwe bure kwa wafanyabiashara wote wanaotaka kujiunga na huo mfumo, pia uwepo uhuru wa kununua au kutonunua hizo printer, mtu awe anatoa soft copy tu kama anataka, na awe na uhuru wa kununua popote zilizothibitishwa ubora. Tuache kuendekeza upigaji katika kila kitu, please! Na mkileta ubishi napeleka ripoti kwa aliyenituma, tumechoka sasa kuwapa mawazo halafu mnayapimdisha pindisha, kwenye LUKU mmepindisha, na hapa tena mnaleta upigaji, why? Why msifanye kama mnavyoelekezwa?! Monopoly hii ni kwa faida ya nani?!!
 
boss shida ya TRA ni nini hapo?
Mbona walichofanya ndio sawa. Hicho unachokitaka wewe ndio monopoly yenyewe.
Naamini hujaelewa dhana nzima.

Kama mtu ambaye nimeona na kuisoma dhana nzima ya VFD naamini ndio njia sahihi.

Taasisi nyingine za serikali wana la kujifunza juu ya TRA VFD.

Kama una swali kwa raia, ambaye anaona walivyofanya TRA ni sahihi then niulize. Ila lisiwe swali kwa TRA maana mimi sio TRA
 
Update: 31/02/2022

Hatimaye wamefanyia kazi wazo langu

Update: 31/02/2022

Hatimaye wamefanyia kazi wazo langu

Safi sana...
 
Yeah, ila app inaonekana sio mali ya TRA, ni third party kapewa ulaji, na utainunua hio app kwa laki 3 kama unaitaka
Boss TRA hawajatengeneza App. Najua huwa una sharp mind fanya utafiti kidogo. TRA wametoa API ambayo kila Mtanzania anaweza kuomba kufanya Integration. Which means unaweza kutafuta Developer ukamlipa kwa Kampuni yako akafanya Integration na wewe ukaitoa app for free. Kwa hiyo hii ni opportunity kwa wanaoona kuwa wanataka kuwe na app Free kufanya hili liwezekane!

Kuna threads nyingine nilitoa mawazo yangu kwa nini TRA ikitengeneza App itakuwa imehama kwenye majukumu yao ya msingi. Mojawapo ni kuwa ili kutengeneza receipt lazima uwe unatunza taarifa za mauzo ili kujua umeuza bidhaa ngapi na kwa kiasi gani na kadhalika. TRA itakuwa inatoa POS Management system na watakuwa wamehama kwenye kusudi lao la msingi la kukusanya kodi. Walichofanya ndio best balanced solution na kwenye Post za nyuma ukitafuta niliwahi propose the same thing!

Haya ni maoni yangu kama mwananchi mtaalam. Mengine watakuja kutolea ufafanuzi TRA wenye (sina hakika kama wako JF)
 
Sumatra na baadaye Latra wamekuwa wakishindwa kufanikiwa kwa sababu ya kutaka kufanya hicho unachokisema. Ukitaka kusoma kwa undani kidogo pitia ushauri wangu huu. TRA wamefanya the same thing ambacho professionally ndio namna ya kufany mambo.

Boss TRA hawajatengeneza App. Najua huwa una sharp mind fanya utafiti kidogo. TRA wametoa API ambayo kila Mtanzania anaweza kuomba kufanya Integration. Which means unaweza kutafuta Developer ukamlipa kwa Kampuni yako akafanya Integration na wewe ukaitoa app for free. Kwa hiyo hii ni opportunity kwa wanaoona kuwa wanataka kuwe na app Free kufanya hili liwezekane!

Kuna threads nyingine nilitoa mawazo yangu kwa nini TRA ikitengeneza App itakuwa imehama kwenye majukumu yao ya msingi. Mojawapo ni kuwa ili kutengeneza receipt lazima uwe unatunza taarifa za mauzo ili kujua umeuza bidhaa ngapi na kwa kiasi gani na kadhalika. TRA itakuwa inatoa POS Management system na watakuwa wamehama kwenye kusudi lao la msingi la kukusanya kodi. Walichofanya ndio best balanced solution na kwenye Post za nyuma ukitafuta niliwahi propose the same thing!

Haya ni maoni yangu kama mwananchi mtaalam. Mengine watakuja kutolea ufafanuzi TRA wenye (sina hakika kama wako JF)
TRA iwalipe hao developers kuunda mfumo, na mfumo umilikiwe na TRA, kila mtu apakie app for free, haya mambo ya kuwaambia wengine wadevelop halafu wakitaka ku-approve app yao inachukua miaka 10 TRA kui-approve ili kukinda mirija yao kwenye app developer yankwanza hayafai. Ni kama wanavyofanya kwenye clearing agents, nafasi zinatolewa kwa wale wenye maslahi nazo tu. App iwe bure! 300k ya nini?!!!
 
Mwaka 2017 ulikua unanafasi ya kujitengenezea kuwa bilionea wa kitanzania ila nafasi ndio hivyo tena. Ungeingia chimbo kudevelop hii kitu na team yako, leo ungekua ni mtu mwengine kabisa.
 
Ni muda muafaka sasa kwa TRA kumiliki app yake yenyewe na kuifanyia roll out bure kwa wateja
 
Back
Top Bottom